Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mzozo Mkali umeibuka baina ya Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) na jeshi la polisi. Mzozo huo ni baada ya jeshi la polisi kuwataka waondoke eneo walilokuwa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwangu haya mawili ni majanga makubwa kuliko majanga yeyote yaliyowahi kuwapata watoto (wanafunzi. Naiomba serikali na wizara husika kuchukua hatua ya haraka ikiwemo ya kupima UKIMWI NA MIMBA...
2 Reactions
17 Replies
762 Views
Baaada ya Gwajima kutangaza jana kuwepo ibada Jimbo kuu la Dar es Salaam eneo la Ubungo leo Juni 15, 2025 Tangazo hilo lilifuatwa kwa tukio la Polisi kuzingira Kanisa hilo na waumini kuonekana...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Ooh sijui mishahara, sijui maisha magumu, sijui nini, Ebu njoeeni mtaani muone, si bora nyie mmesoma Kaeni chini mfanye kazi kama mna hasira sana tengenezeeni chama chenu mchukue nchi
3 Reactions
20 Replies
845 Views
Wakuu Limekuwa jambo la kawaida hasa watumishi wa umma kuona siku za mapumziko (jumapili na jumamosi) kuwa ni siku za starehe na kufuja pesa kwa ajili ya kujifurahisha,badala ya kutambua kuwa...
2 Reactions
9 Replies
457 Views
Habari za Wakati Huu! Natumaini ni weekend nzuri kabisa pande zako na huenda pia ukawa na Jumapili ambayo sio nzuri sana ila kuwa na Imani na Tumaini kuwa utashinda. Nikiwa kama Kijana ambaye...
2 Reactions
5 Replies
527 Views
Jana nilipoenda Hospitali ya Jitimai Zanzibar kumuangalia mjamzito nimekutana na changamoto wanayoikumba wakina Wamama baada ya kujifungua. Kitanda kimoja wanalala Wazazi watatu na watoto wao...
2 Reactions
1 Replies
347 Views
Sativa amewakalia kooni ACT wazalendo 😂. Kupitia ukurasa wake wa X anaandika "Kanuni zinasema ukipiga kura NENDA nyumbani. Haisemi ukae mita 200. Kwahiyo ACT WAZALENDO watalinda kura kutokea...
4 Reactions
7 Replies
547 Views
Bajeti ya Serikali mwaka 2025/2026 imetangaza neema ya kuongezwa kwa pensheni wanaolipwa na hazina kwa asilimia 150. Akiwasilisha bungeni bajeti ya mwaka husika leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
"Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Hizi kodi zinalenga kuwafaidisha hawa watu na huenda wamekamuliwa sana pesa za kampeni, hasa GSM, AZAM,MO na JAMBO hawa ndio target na wala hakuna cha kuvutia wawekezaji zaidi. Kuna sanaa...
2 Reactions
3 Replies
350 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kubuni na kuandaa shindano la stadi za ufundishaji kwa walimu wa shule za msingi na...
1 Reactions
2 Replies
448 Views
Je, Kwa Nini USDT (Tether) Inaonekana Kama Sarafu ya Kidijitali Inayoshikilia Thamani ya Pesa?. Tuje kwenye Historia Kabla ya kuibuka kwa USDT, watu waliokuwa wakitumia sarafu za kidijitali kama...
3 Reactions
6 Replies
654 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia...
49 Reactions
414 Replies
24K Views
Yesu alitoa mfano akasema "Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akagawiwa vitu vyake. Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo...
2 Reactions
2 Replies
345 Views
Siku moja baada ya Naibu Katibu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church (Nyumba ya Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Mwanamapinduzi kutangaza kuwa kanisa hilo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika hali ya kawaida, mbogamboga huonekana kuwa chakula salama na chenye faida nyingi kiafya. Hata hivyo, katika muktadha wa miji au Majiji makubwa kama makubwa kama Dar es Salaam, Dodoma...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Uwabata 4life
2 Reactions
12 Replies
500 Views
Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
mambo vipi leo nimekutana na sunday demonte am so excited kwa kweli nimekutana mtu niliekuwa namsoma kwenye magazeti na kupiganae story Nimcheshi mno ana story nyingi kuhusu hawa wanawake mastar...
1 Reactions
8 Replies
494 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…