๐—ฆ๐—ต๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฝ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐— ๐—ผ๐˜๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ

๐—ฆ๐—ต๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฝ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐— ๐—ผ๐˜๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,367
Reaction score
2,800
1_20250614_104648_0000.png


Google iko kwenye mpango wa kuweza kuzindua hatua muhimu za kulinda na kuweka kinga ili kuzuia simu za Google Pixels kupata joto kupita kiasi.

Haya yanajiri baada ya ripoti mbalimbali mitandaoni kuonyesha simu aina ya Google pixel 6a kushika sana Moto.

2_20250614_104649_0001.png
3_20250614_104649_0002.png


Google iliweza kuthibitisha kwa kusema inafanyia kazi update mpya ili kuweza kulinda betri dhidi ya kuzuia kupitia vifaa vyao vya Google pixels haswa Google pixel 6a na 6.

Malalamiko yamekua mengi watu wengi wanalalamika juu ya simu za Google pixel ukitumia kidogo tu zinapata Joto kiasi kwamba kama unachemsha maji na kupelekea baadhi yao kulipuka ila ikifika Julai itaweza kuondoa changamoto hiyo.

4_20250614_104649_0003.png
5_20250614_104649_0004.png


Sio mara ya kwanza Google Pixel kupata changamoto hii mwanzo ilitokea kwenye Simu aina ya Google Pixel 4a mapema tu mwaka huu zilikua zinashika sana Moto balaa ๐Ÿˆโ€โฌ›.

9_20250614_104649_0008.png
10_20250614_104649_0009.png
11_20250614_104649_0010.png


โš ๏ธ "Google imesema itawasiliana na Watumiaji wote waliopata. Changamoto kwenye vifaa vyao na kuweza kuwapa kila wanachokihitaji ili kuweza kushughulia changamoto hiyo kwenye vifaa vyao."

Vipi simu yako unayotumia inashika moto au wewe ni mwendo mdundo tu!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom