Andrew Chenge aka Nyoka mwenye makengeza kapotelea wapi?

DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,212
4,517
Ni wakili mbobezi aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.

Pia ni mwanasiasa nguli aliyehusishwa kwenye kashfa nyingi za kifisadi nchini.

Kwa Sasa Andrew Chenge hasikiki kabisa.

Yuko wapi nyoka mwenye makengeza?
 
Nilimwona Ikulu wakati Samia anatangaza kuruhusu mikutano ya siasa
 
Back
Top Bottom