Baada ya tukio la kioga " Coward Act" la kichaa mmoja kwa jina Laurent Kweka kumpiga risasi na kumuua mkewe, House Girl wa familia aliibuka kutoa maelezo ya tukio hilo pamoja na mgogoro wa wana...
1.Akili gani mnatumia kusema mnaoa ili mkizeeka mpate wa kuwatoa nje juani na kuwarudushi kwenye vichuguu vyenu.
2.Mahesabu ya wapi yanasema kwamba ukiumwa lazima akuhudumie mkeo.Hivi mnahisi...
Daladala za Mbagala-Kawe-Masaki na Kisemvule , Eicher zinabeba watu 70 kuendelea:
Huko Mwanza wamekata Eicher ya Msukuma, itaisha lakini vipi kuhusu Dar, ina maana huwa hawaoni?
Tusubiri vifo...
Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) umemalizika rasmi jijini Arusha, Tanzania, huku masuala ya haki za binadamu, demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari yakiwa miongoni mwa mada...
Wanaume hasa vijana wa wa Tanzania wenye hofu za wake zao kuliwa na maboss na wafanyakazi wenzao kwenye Ofisi walizoajiriwa ni hisia zao za unyonge tu (inferiority complex) na Masculine insecurity...
Ndio . Kuna ambao kabisa wameacha kwenda kuwatembelea ndugu kama aunties, uncle n.k .
Kwa sababu muda mwingine wakienda kuwatembelea hawa wajomba na mashangazi ,zile kumbukumbu za maumivu ya...
Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika.
Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wayahudi...
Kuna somo kubwa sana ambalo kila mfanyabiashara anapaswa kujifunza.
Kuna mtu aliwahi kuwa na biashara iliyokuwa inafanya vizuri sana. Wateja walikuwa wanaingia dukani kila siku, bidhaa...
Kufuatia sakata la Kweka Na Urassa, wadau wengi wanasema wanataka kuoa wake wa kimachame waone kama ni kweli lisemwalo kuwahusu ni kweli!
Nimewashuri waoane tu, mdau wewe unasemaje?
Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya...
Kwa barabara zetu hizi nyembamba na mbovu sana ni hatari sana haya mabasi yanayobeba abiria 55 mpaka 60, yanakuwa hayako stable barabarani na ajali zikitoea watu wengi sana wanakufa.
Serikali...
Hii Mvua hii inayoporomoka huku watu wanakimbizana kuna watu mkeka wao unaenda ku-tick.
Maana walisema kutakua na mvua na walikua wanasubiria inyeshe japo kidogo waseme si tuliwaambia sisi...
Hali ya kukosekana na kutokuwepo maji safi na salama,Wilaya ya chunya.
Hili ni tatizo kubwa la afya ya umma na usalama wa mazingira katika Kijiji cha Matondo na Itumbi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa...
Dar es Salaam na miji mingi sasa hivi bidhaa za mbogamboga na viungo kama karoti, nyanya, vitunguu, hoho, biringanya, bamia, viazi, ndizi na matunda bei ni ziko juu sana. Bei za nafaka kama unga...
Hayo ndiyo maneno yaliyoandikwa ukutani na Walter Kipkoech, mwenye umri wa miaka 23, ambaye ni mshukiwa wa mauaji. Aliandika ujumbe huo kwa kutumia damu ya mpenzi wake wa miaka 18, Joy Wangui...
CHEMBA
Wananchi 268 wamehudumiwa katika Kliniki ya Ardhi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma ndani ya siku tano tangu kuanza kwa huduma hizo Oktoba 5, 2026, huku hati miliki za ardhi 181 zikiwa...