Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

CHANJO YA MIFUGO KITAIFA NI MWEZI MEI Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Kati ya Mwezi Mei na Juni 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu...
0 Reactions
5 Replies
466 Views
Katika sauti ya kimya ya moyo wetu, kuna wito usioonekana lakini unaosikika kwa kila mtu anayejitafakari , wito wa kutambua zawadi ya maisha, zawadi adimu isiyopimika kwa dhahabu wala dhahabu...
3 Reactions
1 Replies
343 Views
Mhu 7:5-6 SUV [5] Heri kusikia laumu ya wenye hekima, Kuliko mtu kusikia wimbo wa wapumbavu; [6] Maana kama mlio wa miiba chini ya sufuria, Ndivyo kilivyo kicheko cha mpumbavu. Hayo nayo ni...
1 Reactions
12 Replies
556 Views
Salamu wana JF Sitapoteza muda wenu bali nitafanya rejea fupi kwa yale yaliyotokea miezi michache iliyopota kule Ngorongoro tulishuhudia baadhi ya vijiji vikifutwa na watu kuhamishwa. Lile...
0 Reactions
1 Replies
270 Views
Kweli tunapitia nyakati ngumu na kweli kuna wakati ulinisaidia salio kidogo nikanunua LUKU lakini msaada huo uliambatana na masimango. Naam na kwa kumbukumbu zangu baada ya hapo si kwamba...
0 Reactions
4 Replies
380 Views
Ndio maana kwa nchi yetu wanaogopa sana serikali.
0 Reactions
2 Replies
371 Views
Poleni na kazi wadau. Napenda kusema kwa maandishi kuwa, zipo familia hapa Tanzania zimetolewa na karama fulani. Kama ilivyokuwa kwa familia ya Rashidi Ally Matumla kuzaliwa kwa kuwa mabondia...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Dkt.Juma Homera ametembelea na kukagua barabara ya Mlima iwambi na barabara ya mchepuo ya muda kwaajili ya kupita Magari kupishana na Malori. Dkt.Homera amesema hapo awali...
1 Reactions
4 Replies
391 Views
Serikali imemwagiza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kuwa watumishi wa Mamlaka hiyo wanafuata taratibu na sheria zilizowekwa. Agizo hilo limetolewa bungeni jijini Dodoma...
0 Reactions
2 Replies
412 Views
Jana wikiend wakati naenda kumtembelea mmoja wa rafiki zangu kapanga hapo down town kinondoni. Nikashangazwa na mama mwenye nyumba wake kuanza kubishana na kutupiana maneno na mmoja wa wapangaji...
3 Reactions
7 Replies
596 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa mnamo tarehe 16.06.2025 majira ya saa 21.05hrs huko katika Kijiji cha Mwamishari, Kata ya Mwamishari, Tarafa ya Kimali, Wilaya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakazi wa maeneo ya Ipogolo Kitwiru na mengine ya karibu mjini Iringa wamekusanyika katika eneo la Eso mjini Iringa kushuhudia boti ya uokoaji inayoelekea ziwa Victoria jijini Mwanza huku wakisifu...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Mhu 6:7 SUV [7] Kazi yote ya binadamu ni kwa kinywa chake, Walakini hata hivyo nafsi yake hashibi. Wakati mwingine tunafanya kazi kwa bidii sana kuhakikisha tunapata mahitaji yote ya kimwili...
0 Reactions
2 Replies
279 Views
Naam ni bidii katika kuitafuta nguvu kuu iliyo ndani yetu kwa imani zetu. Haihitaji kutumia nguvu. Sikiliza sauti iliyo ndani mwako kisha pima ni hasi au chanya? Kama ni Chanya basi hiyo ndiyo...
2 Reactions
3 Replies
283 Views
Akizungumza na Mwananchi leo, Jumanne Juni 17, 2025, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea ili kubaini ukweli wake. “Bado...
0 Reactions
8 Replies
625 Views
Kama baadhi tunavyofahamu, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) ilitoa kipindi cha mwezi mmoja, kuanzia Mei 22 hadi Juni 21, 2025, kwa waandishi wa habari waliokidhi vigezo rasmi...
0 Reactions
1 Replies
464 Views
NYOTA YAKO LEO JUMANNE JUNI 17/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
0 Reactions
8 Replies
548 Views
Licha ya juhudi zilizofanyika, Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana (2007) iliyofanyika mwaka 2022 imebaini kuwepo kwa vijana wenye ujuzi usioendana na mahitaji ya soko...
0 Reactions
1 Replies
362 Views
Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo. Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani...
13 Reactions
20 Replies
1K Views
Youtube wanaruhusu kusave video kwa watumiaji wanaotumia simu na unasave na kutazama kwenye kifaa hichohicho ulichotumia kuhifadhi. Wanafanya hivyo ili kulinda haki za waandaa maudhui. Pia Youtube...
6 Reactions
10 Replies
842 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…