Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamii za sisi binadam ni watu wa ajabu kabisa. Unashangaa mtu anasukuma IST au Volti. Anapaki msikitini. Mwingine anaishi kwenye nyumba yake safi na ameshanunua gari anamtoto mmoja. Wewe...
2 Reactions
10 Replies
576 Views
Wasalaam ndugu. Sina kona kona nyingi cha msingi naomba kuelimishwa kwanini chama tawala na serikali yake hawataki tume huru ya uchaguzi? Juzi kati chama hicho kilitoa taarifa kuwa kina jumla ya...
1 Reactions
13 Replies
587 Views
Jionee mwenyewe kwenye picha... Hapa ni Manispaa ya Mtwara Mikindani. Bwana Afya na Bibi Afya wapo tu, wanasubiri milipuko ya magonjwa ili waandike madosari ya kuomba fedha. Hakuna jitihada za...
1 Reactions
3 Replies
928 Views
Wazazi wa mwanafunzi Mhoja Maduhu wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Mwasamba ya mkoani Simiyu wameomba uchunguzi ufanyike juu ya kifo cha mtoto wao kwa madai ya kuwa kifo chake...
4 Reactions
66 Replies
5K Views
Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora...
2 Reactions
2 Replies
647 Views
Kuna habari iliandikwa humu JF jana na mdau wa huu mtandao kuhusu wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao. Habari ilihusu shule ya msingi Kimandafu. Kwanza naipongeza serikali yetu...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini imeanza rasmi zoezi la ukaguzi wa ubora wa malori yanaingia bandarini kwa ajili ya kushusha na kupakia...
1 Reactions
1 Replies
293 Views
Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu Sielewi aiseee hii Softness...
3 Reactions
9 Replies
682 Views
Unfortunate deni la Taifa linaongezeka. Hili deni limeongezekaje huku makusanyo ya ndani yameongezeka? Jibu watasema miradi imeongezeka. Kwanini miradi isiongezwe kwa kutumia pesa za makusanyo...
2 Reactions
9 Replies
384 Views
CHANJO YA MIFUGO KITAIFA NI MWEZI MEI Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Kati ya Mwezi Mei na Juni 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu...
0 Reactions
5 Replies
465 Views
Katika sauti ya kimya ya moyo wetu, kuna wito usioonekana lakini unaosikika kwa kila mtu anayejitafakari , wito wa kutambua zawadi ya maisha, zawadi adimu isiyopimika kwa dhahabu wala dhahabu...
3 Reactions
1 Replies
343 Views
Mhu 7:5-6 SUV [5] Heri kusikia laumu ya wenye hekima, Kuliko mtu kusikia wimbo wa wapumbavu; [6] Maana kama mlio wa miiba chini ya sufuria, Ndivyo kilivyo kicheko cha mpumbavu. Hayo nayo ni...
1 Reactions
12 Replies
555 Views
Salamu wana JF Sitapoteza muda wenu bali nitafanya rejea fupi kwa yale yaliyotokea miezi michache iliyopota kule Ngorongoro tulishuhudia baadhi ya vijiji vikifutwa na watu kuhamishwa. Lile...
0 Reactions
1 Replies
269 Views
Kweli tunapitia nyakati ngumu na kweli kuna wakati ulinisaidia salio kidogo nikanunua LUKU lakini msaada huo uliambatana na masimango. Naam na kwa kumbukumbu zangu baada ya hapo si kwamba...
0 Reactions
4 Replies
380 Views
Ndio maana kwa nchi yetu wanaogopa sana serikali.
0 Reactions
2 Replies
371 Views
Poleni na kazi wadau. Napenda kusema kwa maandishi kuwa, zipo familia hapa Tanzania zimetolewa na karama fulani. Kama ilivyokuwa kwa familia ya Rashidi Ally Matumla kuzaliwa kwa kuwa mabondia...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Dkt.Juma Homera ametembelea na kukagua barabara ya Mlima iwambi na barabara ya mchepuo ya muda kwaajili ya kupita Magari kupishana na Malori. Dkt.Homera amesema hapo awali...
1 Reactions
4 Replies
391 Views
Serikali imemwagiza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kuwa watumishi wa Mamlaka hiyo wanafuata taratibu na sheria zilizowekwa. Agizo hilo limetolewa bungeni jijini Dodoma...
0 Reactions
2 Replies
411 Views
Jana wikiend wakati naenda kumtembelea mmoja wa rafiki zangu kapanga hapo down town kinondoni. Nikashangazwa na mama mwenye nyumba wake kuanza kubishana na kutupiana maneno na mmoja wa wapangaji...
3 Reactions
7 Replies
596 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa mnamo tarehe 16.06.2025 majira ya saa 21.05hrs huko katika Kijiji cha Mwamishari, Kata ya Mwamishari, Tarafa ya Kimali, Wilaya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom