Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wasafiri wa ndege ndani na nje ya nchi kutositisha safari zao kutokana na hofu ya tangazo la Umoja wa Ulaya (EU) kuhusu kuzuia baadhi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Boti maalumu ya uokoaji katika Ziwa Victoria (Ambulance Mwanza) inayosafirishwa kwa njia ya barabara imegeuka kama jukwaa la kampeni maana imeandikwa mitano tena, kazi iendelee. Sasa je mali ya...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari za mida Wakuu, Baada ya majukumu na pilika za maisha leo, usiku huu nimepata muda wa kupitia habari na kuna habari imenishtua sana, naomba kuwakilisha kwenu. Wakati DPP wa Kenya...
25 Reactions
405 Replies
81K Views
DUNSTAN KITANDULA: UTALII NA MADINI ZINACHANGIA KWA PAMOJA KUKUZA UCHUMI WA TAIFA SERIKALI imesema sekta ya madini na utalii ni nguzo muhimu zinazotegemeana katika kukuza uchumi wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
KIFARU KIFARU ni mnyama aliye mkubwa sana na mnene kabisa. Ingawa watu husema kwamba makao yake ni Afrika, wako wengine wa jamii yake Bara Hindi na Java na Sumatra; tena ziko alama za vifaru wa...
1 Reactions
6 Replies
638 Views
Ninapoelezea jambo hili linalohusu 'nchi hii', sio 'taifa lile la Mungu wa Biblia'; nitagusia katika vipengele mbalimbali ili kuona haswa huu mzizi ulianzia wapi KIHISTORIA: Wayahudi wengi...
0 Reactions
14 Replies
915 Views
Kwanini nature iliunda gravitational force ili binadamu pamoja na vitu vingine visiende juu (outer space 100 kilometers from the sea level)?? Ukijaribu kuruka juu, nature/gravity inakurudisha...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Na nimefurahi zaidi mliposema kuwa mmeshawabaini hao Viongozi Serikalini wanaofanya hii DHAMBI KUU YA KIKATIBA YA USALAMA WA TAIFA LETU na nawaomba muanze na Watatu wenye hii tabia mmoja anatokea...
13 Reactions
57 Replies
3K Views
Magufuli alisema Watanzania wanajua kuchambua mambo na lilipotokea tukio la kutekwa kwa Mo zilikuja habari nyingi kwamba waliohusika na utekaji ni Wazungu wa aina fulani lakini suala hilo...
3 Reactions
3 Replies
732 Views
Kuna clips nyingi Mitandaoni huonesha watoto wadogo wakichezea kiumbe hatari aka Mr snake iwe koboko au wengine mara nyingi watoto wanakuwa unharmed na hao Nyoka. Je, sababu ni nini? Haya ni...
6 Reactions
102 Replies
3K Views
Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha? - Magonjwa haya...
26 Reactions
313 Replies
12K Views
Ndio maana mara kwa mara nimekuwa nikiandika nyuzi hapa kukosoa watu kulipa mamilioni kwenye shule zinazo fuata mtaala wa Necta( EMS) kwa sababu there is nothing worth paying there. Wasomi wa...
3 Reactions
9 Replies
556 Views
Kibongo bongo Ili utoboe inahitajika unafiki wa kiwango Cha mossad (SGR).....Ili kufanikisha projects zako Since wabongo wakishaona una dalili za kujipata Kila mtu atataka utatue shida zake hata...
13 Reactions
45 Replies
2K Views
Leo nilikua nasafiri kuelekea Morogoro Wakati nipo kwenye gari ya Temeke-Mbezi (Dala Dala) konda akaanza kukusanya pesa kama kawaida yao . Ghafla tukaanza kusikia malumbano Sauti Kali ya konda...
80 Reactions
63 Replies
3K Views
Mvinyo ni uleule kilichobadilika ni chupa tuu... Chama dola kilifanya figisu ili vyama visiwe na vikundi vya ulinzi...Na sheria ikapitishwa kwenye hili...Hii yote ilitokana na chama kikuu cha...
19 Reactions
86 Replies
11K Views
Yesu aliomba kwa kusujudu. "Akaanguka kifudifudi, akaomba."_ (Mathayo 26:39) sio kuimba au kukesha kwa makelele. Yesu aliwasalimu kwa amani. "Amani iwe nanyi." 《Assalam alykum) kama waislamu...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Imeelezwa kwamba, tangu Tanzania ijiunge na Asasi ya Kimataifa ya EITI iliyopo nchini Norway, imetoa kwa umma ripoti 14 za TEITI kwa kipindi cha kuanzia Julai 2008 hadi Juni, 2022. Aidha, kwa sasa...
0 Reactions
2 Replies
296 Views
Mungu wako na Mungu wetu ni Mungu mmoja kwa kuwa kuna Mungu mmoja tu kama ilivyoandikwa katika. "Shema" (Kumbukumbu la Torati 6:4) na Marko 12:28, na kama inavyoainishwa katika kanuni ya kwanza...
2 Reactions
86 Replies
3K Views
TANZANIA NA BENKI YA DUNIA WAJADILIANA UTEKELEZAJI MPANGO MAHSUSI WA NISHATI WA MISHENI 300 📌 Mhandisi Mramba aeleza hatua zinazochukuliwa na Serikali kutekeleza Misheni 300 📌 Benki ya Dunia...
1 Reactions
0 Replies
237 Views
Directorate of Criminal Investigations (DCI) ndio mwenye ruhusa nyingi za Kenya kuwa na mfumo wa polisi kwenye kitengo chake kila idara ila hapa kwetu .Nimeshangaa yule mwenye shaidi kuwa kama...
1 Reactions
2 Replies
312 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…