Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kampuni za madini za Geita Gold Mine (GGM), Shanta na Buckreef Gold zimeingia mkataba na Benki Kuu (BoT) ya utekelezaji wa sheria ya madini inayozitaka kampuni binafsi z auchimbaji madini kuiuzia...
0 Reactions
2 Replies
490 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itaendelea kuimarisha Mpango wa Ununuzi na Uhifadhi wa madini ya dhahabu yaliyosafishwa kwa kiwango cha asilimia...
0 Reactions
2 Replies
367 Views
Wadau mbalimbali wanaoshiriki katika Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini wameonesha kufurahishwa na fursa zilizopo kwenye mnyororo wa thamani madini...
1 Reactions
0 Replies
210 Views
Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini limeanza rasmi leo Juni 16, 2025 jijini Mwanza ambalo linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na Wizara...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Imeelezwa kwamba, kwa kipindi cha Miaka Minne Sekta ya Madini mkoani Lindi imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia shighuli za uchimbaji na uwekezaji katika rasilimali madini mbalimbali...
1 Reactions
0 Replies
266 Views
Wizara ya Fedha imeeleza kuwa ili suala la usimamizi wa mnyororo wa ugavi lifanikiwe, linahitaji ushirikiano wa wadau mbalimbali, wakiwemo wananchi na wanahabari, ambao wanaweza kuwaibua watu au...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu...
0 Reactions
1 Replies
304 Views
Wanabodi, Hii kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Tanzania, yafanya kweli tena!, yazindua kituo cha 110 cha mafuta eneo la Ununio Kunduchi Beach hapa jijini DSM na kuendelea kuifanya TotalEnergies...
2 Reactions
11 Replies
965 Views
Wizara ya Fedha imeeleza kuwa ili suala la usimamizi wa mnyororo wa ugavi lifanikiwe, linahitaji ushirikiano wa wadau mbalimbali, wakiwemo wananchi na wanahabari, ambao wanaweza kuwaibua watu au...
1 Reactions
0 Replies
184 Views
Siku ya leo Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mheshimiwa Mwita Mwikwabe Waitara ameitwa kwenye kamati ya madili ya Chama wilaya kuhojiwa juu ya tuhuma zinazomkabili. Miongoni mwa tuhuma hizo...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Salaam members wote. Tafadhali kichwa cha ujumbe hapo juu chahusika. Ni hivI mimi niko America mwaka wa pili sasa, najitahidi sana kutuma pesa kwa wife ili asipate shida na watoto, kila mwezI na...
0 Reactions
31 Replies
1K Views
Utafiti umefanywa na kituo cha utafiti cha Pew. https://youtu.be/BW2vSfYCpH8?si=n9QBPY-e4wkvzRtY Idadi ya waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347, ikizishinda dini nyingine zote kwa pamoja...
1 Reactions
18 Replies
754 Views
Nimekuwa nikitafakari juu ya hotuba na kauli mbalimbali za raisi wetu, ambaye ndio kiongozi wa juu kabisa nchini, na kugundua ana hasira sana. Anachukizwa hata na vitu vidogo vidogo ambavyo...
4 Reactions
17 Replies
731 Views
Kipindi naishi huko California miaka ya 2016 haya maandano hayakuwepo so nashangaa saizi wamarekani wapo busy na maandano badala ya kufanya kazi Au wanaoandamana ndo wale majobless MLIOPO USA...
0 Reactions
29 Replies
681 Views
Nikiwa Rais ntaanzisha mchakato wa kutengeneza dawa ya ukimwi 👇👇👇👇👇 How potential HIV drug will work it engulf viral RNA genome which is essential for viral life and eliminate it. HIV viral...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu kwanini bado jamii yetu ina imani kuwa bado wanawake wanapaswa kufanya majukumu ya kifamilia na kulea ndoa zao kuliko kujihusisha kwenye masuala ya siasa na uongozi? === Ripoti ya BBC...
0 Reactions
32 Replies
859 Views
Kufuatia taarifa ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu la kutaka nchi 36 kutaka kufanyia kazi baadhi ya mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kuzuia raia wa Kitanzania kuzuiwa kuingia...
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Vyombo vya habari vina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi na kwa wakati ili kuchochea maamuzi sahihi sambamba na uwajibikaji. Wajibu huo unaweza kufanikishwa kwa kupambana na...
0 Reactions
1 Replies
343 Views
Mojawapo wa wageni wa kwanza kabisa kualikwa nchini Zaire (DRC ya sasa) na Laurent Kabila, baada ya kumwondosha Mobutu Seseseko kama raisi, alikuwa mwalimu Julius Nyerere. Alikubali mwaliko huo...
1 Reactions
7 Replies
615 Views
Faida anayoiona ya kahawa ni kufanyia scrubbing. Siku hiyo hiki ndo kipengele aliweza kukielezea vizuri zaidi na kwa muda mrefu. 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭 Nyie Watanzania mkiendelea na akili hizi...
0 Reactions
3 Replies
268 Views
Back
Top Bottom