Ingawa tumekuwa tukifundishwa kuoga kila siku, utafiti wa kisayansi unaonesha kuwa sio lazima! Kwa mujibu wa madaktari wa ngozi, kuoga mara 2 hadi 3 kwa wiki kunatosha kabisa – isipokuwa tu kama...
Kutana na jamaa mmoja anaitwa Danny Manu mbunifu wa masuala ya Teknolojia Toka Ghana na Uingereza aliyefanikiwa kuunda vifaa vya sauti vya masikioni yenye uwezo wa Kutafsiri lugha zaidi ya 40+...
Wana harakati wa #NoReforms_NoElection hili la VIOLA MTETEZI kugeuka ghafla baada ya tetesi fulani, kwa ujumla limewakwaza na kuleta maoni mbalimbali !
Ni nimeona video clip uko Facebook kwenye...
NYOTA YAKO LEO ALHAMIS JUNI 26/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza Eric Shigongo amefanikisha usimikaji wa taa za barabarani katika jimbo hilo jambo lililoweka historia mpya kwa jimbo hilo,
Wananchi wa Buchosa wamemshukuru...
Raia sita wa Tanzania wakiwemo watoto watatu, wamerudi nyumbani kutoka Israel baada ya serikali kuchukua hatua ya kuwarejesha nchini, kutokana na hali ya hatari iliyoko nchini humo.
Soma Pia...
Tabia zinazohusishwa na baadhi ya "machawa" wa CCM mtandaoni:
1. Kutetea chama bila kuangalia hoja – Hata kama chama kiko wazi kimeteleza, bado hutetea kwa nguvu bila mantiki.
2. Kushambulia...
Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k
Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume...
MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI JENGO LA KUPUMZIKIA WANANCHI HOSPITAL YA RUFAA YA DODOMA
▪️RC Senyamule ampongeza kwa jengo na uanzishwaji wa ujenzi wa uzio
▪️Rais Samia apongezwa kwa maboresho makubwa...
Swali: Inakuwaje manabii wa uongo wanakuwa na uwezo wa kutoa pepo kwa jina la YESU?, na ilihali hawana mahusiano na Mungu wa kweli? je ni nguvu gani wanazitumia? Za Mungu au shetani?.
Jibu: Zipo...
KUBEHNELA AU KUPUTILA
👉 Pichani hapo inaonesha zoezi la kubehnela ama kuputila. Ni njia za asili na jadi kabisa walizokuwa wanatumia wazee wetu.
👉 Njia hii ilitumika kuondoa degedege kwa watoto...
Ni watoto wachache hukumbuka wale waliowalea na kurudi nyuma, wengi wakishakua huanza kutafuta wazazi wao au wale wanaodhani ni ndugu zao sasa, na ni bora aishie kutokukukumbuka tu, wengine huanza...
Mwambao wa pwani, Hapa toka jana 24/6/2025 saa mbili USIKU ni mvua mpaka SASA HIVI leo. Usiku mzima ilikuwa ndogo ndogo. Since morning up to now, it has been raining cats and dogs
Tudaidieni mbinu maana sisi wengine salary huwa inakata ndani kabla ya tarehe 7 baada ya kutoka,tunabakia tunaponea kwenye posho.
Kwa sasa Posho imecheleweshwa boss kasafiri naona kama vile ni...
Binafsi niliwekeza kwenye Samia Infrastructure Bond na sijapata CHETI changu. Ninaomba ni muda muafaka kupata cheti changu cha uwekezaji. Pili, naomba mzingatie muda kuweka dividends ambayo ni...
RAIS SAMIA AMEWEKA ALAMA KWA WATUMISHI WA MAGEREZA ARUSHA, AWAGAWIA MITUNGI 528
📌Nishati safi ya kupikia ni endelevu
📌Yaelezwa ni salama na mkombozi wa mazingira
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1. Msg haziji kwa wakati zinapofanyika au kungiza transaction.............zinachelewa sana , one day sometimes compared to other banks
2. Salary, pension advances, nisogeze hazifanyiki kazi hadi...
Njia ya Kivule kwenda Banana ambayo ilikuwa kero nimeona imeanza kukarabatiwa, kwa kipindi cha wiki nzima naona mkandarasi yupo site jambo ambalo kidogo limenipa faraja.
Hii barabara kwa muda...