Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki...
0 Reactions
1 Replies
355 Views
Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu. Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe. Ndani ya miaka 7 ya utawala wa...
0 Reactions
31 Replies
1K Views
Hi Mada ni ya wana zuoni wa theology tu, mumini (fanatic) sio yako. Paulo alidai kuwa alikuwa Farisayo, na tunamwamini: “Paulo alipoona kuwa kundi moja ni Masadukayo na jingine Mafarisayo...
1 Reactions
45 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyoeleza, msaada please
1 Reactions
49 Replies
26K Views
Dar es Salaam. Tarehe 7 Januari 2025: Katika kuukaribisha mwaka mpya 2025, Benki ya CRDB imezindua mikopo ya ada kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kote. Mikopo hiyo inayoitwa...
11 Reactions
127 Replies
10K Views
Ingawa tumekuwa tukifundishwa kuoga kila siku, utafiti wa kisayansi unaonesha kuwa sio lazima! Kwa mujibu wa madaktari wa ngozi, kuoga mara 2 hadi 3 kwa wiki kunatosha kabisa – isipokuwa tu kama...
9 Reactions
78 Replies
3K Views
Kutana na jamaa mmoja anaitwa Danny Manu mbunifu wa masuala ya Teknolojia Toka Ghana na Uingereza aliyefanikiwa kuunda vifaa vya sauti vya masikioni yenye uwezo wa Kutafsiri lugha zaidi ya 40+...
2 Reactions
6 Replies
604 Views
Wana harakati wa #NoReforms_NoElection hili la VIOLA MTETEZI kugeuka ghafla baada ya tetesi fulani, kwa ujumla limewakwaza na kuleta maoni mbalimbali ! Ni nimeona video clip uko Facebook kwenye...
4 Reactions
68 Replies
3K Views
NYOTA YAKO LEO ALHAMIS JUNI 26/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
2 Reactions
0 Replies
472 Views
Mbunge wa Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza Eric Shigongo amefanikisha usimikaji wa taa za barabarani katika jimbo hilo jambo lililoweka historia mpya kwa jimbo hilo, Wananchi wa Buchosa wamemshukuru...
2 Reactions
4 Replies
359 Views
Raia sita wa Tanzania wakiwemo watoto watatu, wamerudi nyumbani kutoka Israel baada ya serikali kuchukua hatua ya kuwarejesha nchini, kutokana na hali ya hatari iliyoko nchini humo. Soma Pia...
0 Reactions
4 Replies
369 Views
Kuna muda usiutese moyo kitu kama dini sijui kabila au team unaweza kuhama na maisha yakaendelea poa tuu Ni ushauri tuu Muwe na jioni njema
4 Reactions
16 Replies
760 Views
Tabia zinazohusishwa na baadhi ya "machawa" wa CCM mtandaoni: 1. Kutetea chama bila kuangalia hoja – Hata kama chama kiko wazi kimeteleza, bado hutetea kwa nguvu bila mantiki. 2. Kushambulia...
2 Reactions
4 Replies
388 Views
Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume...
49 Reactions
180 Replies
9K Views
MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI JENGO LA KUPUMZIKIA WANANCHI HOSPITAL YA RUFAA YA DODOMA ▪️RC Senyamule ampongeza kwa jengo na uanzishwaji wa ujenzi wa uzio ▪️Rais Samia apongezwa kwa maboresho makubwa...
0 Reactions
0 Replies
418 Views
Sijawahi kuona ujinga kama huu tangu nianze kujihusisha na Ving'amuzi. Yaani hata huduma kwa wateja imefungwa Ni aibu sana!
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Swali: Inakuwaje manabii wa uongo wanakuwa na uwezo wa kutoa pepo kwa jina la YESU?, na ilihali hawana mahusiano na Mungu wa kweli? je ni nguvu gani wanazitumia? Za Mungu au shetani?. Jibu: Zipo...
3 Reactions
4 Replies
617 Views
KUBEHNELA AU KUPUTILA 👉 Pichani hapo inaonesha zoezi la kubehnela ama kuputila. Ni njia za asili na jadi kabisa walizokuwa wanatumia wazee wetu. 👉 Njia hii ilitumika kuondoa degedege kwa watoto...
1 Reactions
1 Replies
262 Views
Ni watoto wachache hukumbuka wale waliowalea na kurudi nyuma, wengi wakishakua huanza kutafuta wazazi wao au wale wanaodhani ni ndugu zao sasa, na ni bora aishie kutokukukumbuka tu, wengine huanza...
1 Reactions
1 Replies
292 Views
Mwambao wa pwani, Hapa toka jana 24/6/2025 saa mbili USIKU ni mvua mpaka SASA HIVI leo. Usiku mzima ilikuwa ndogo ndogo. Since morning up to now, it has been raining cats and dogs
4 Reactions
34 Replies
850 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…