TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,462
- 23,133
Miaka 8 nyuma Roho Mtakatifu aliwahi kunitembelea chumbani kwangu nikasikia sauti ikiniambia " Ephraim unajuwa unaroho ya nani? Glafla macho yangu yakafunguka nikaona NIPO KATIKA DUNIA YA KARNE YA 17 alafu kuna Mtumishi wa Mungu mkubwa sana nisiyemfahamu jina lake YUPO KATIKA KANISA KUBWA SANA NAMI NIKAJIONA NIPO MADHABAHUNI ILA KWA CHINI NA YEYE ALIKUWA MADHABAHUNI JUU KISHA ALIBEBA KITU KAMA KOREO AKAWA ANACHOTA VITU NA KUNIRUSHIA NAVYO VILIKUWA VINAINGIA MWILINI MWANGU nikaona amechota kila kitu na vyote vilivyokuwa kwenye ile madhabahu vilikuwa mwilini mwangu.
Kisha Roho Mtakatifu akanirudisha toka karne ya 17 NILIJAA UTUKUFU WA MUNGU 😭😭
MWAKA HUU MWEZI WA TATU MAJIRA YA SAA TISA USIKU ROHO MTAKATIFU AKANICHUKUA KATIKA ROHO NAMI NIKAONA NIMESIMAMA NA MBELE YANGU WALIKUWA WAZEE WA WAWILI WAMEPANGA FOLENI KUNIJIA nikamuona Evangelist Billy Graham na Apostle JB Makananisa. Akaanza Billy Graham kunikalibia mpaka akaingia ndani ya mwili wangu na baadaye nikamuona Makananisa amenikaribia kisha akaingia ndani ya mwili wangu immediately NIKAONA UTUKUFU WA MUNGU NISIO WAHI KUONA 😭😭😭
KUTOKANA NA MAONO HAYA
_Hii NI APPRECIATION POST JUU YA WAZEE WETU WA IMANI KATIKA MWILI WA KRISTO.
Waebrania 11:1-2
[1] Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
[2] Maana kwa hiyo wazee wetu walishuhudiwa.
NINAMAMBO MENGI YA KUONGEA JUU YAO ILA NITAZUNGUMZIA MAMBO MATATU YALIYO UJAA MOYO WANGU AMBAYO NIMEJIFUNZA KUTOKA KWA WAZEE WETU WA IMANI KATIKA MWILI WA KRISTO ULIMWENGUNI KOTE 😇😇😇
1. JAMBO LA KWANZA NILILOJIFUNZA KUTOKA KWA WAZEE WETU WA IMANI NI IMANI.
Kama Kuna Kitu Tunapaswa Kuchota kutoka kwa wazee wetu waliotutangulia ni IMANI
Uvuli wao kwetu ni Imani
Nguvu yao kwetu ni Imani waliyotuachia
"URITHI WA WAZEE WETU WA IMANI SI MALI ILA NI IMANI"
Tuingie katika Imani kama Wazee wetu walivyokaa katika Imani
Hatushuhudiwi Kingine ILA KINACHOTUFANYA TUSHUHUDIWE NI IMANI
IMANI NI USHUHUDA WA WATAKATIFU
IMANI NI USHUHUDA WA MASHUJAA WOTE KATIKA ULIMWENGU WA ROHO
2. JAMBO LA PILI NILILOJIFUNZA KUTOKA KWA WAZEE WETU WA IMANI NI MUNGU WAO KUWA HALISI.
Vita walizopitia hazikuwatenganisha na Mungu wao
Hawakuwa watu wakujionea huruma
Majina yao yalijengwa baada ya jangwa kali
Walimhubiri Yesu bila uoga hata magerezani walilala lakini hawakupindisha Neno la Mungu
Walimfanya Mungu kuwa kweli na wala hakuwa hadithi na Mungu alitokea katika nyakati zao
HAWA WAZEE WALIJUWA KUMTAFUTA MUNGU NAYE MUNGU ALIONEKANA KWA NAMNA YA KUTIKISA NCHI NA ULIMWENGU WOTE ni vile wengi wao walitumika kabla ya maendeleo ya science and technology ILA HATA KAMA HAKUNA DATA ZA KUTOSHA KATIKA YALE YALIYOFANYIKA KWA MIKONO YAO MBINGU ZINA DOCUMENTS ZAO
3. JAMBO LA TATU NILILOJIFUNZA KUTOKA KWA WAZEE WETU WA IMANI NI MOYO WA IBADA NA VILE WALIVYOKUWA WAAMINIFU KATIKA KUSUDI LAO.
Mioyo yao ilijaa Ibada
Walikuwa ni watu na sasa NI TAASISI KUBWA KWENYE UFALME WA MUNGU
Wazee wetu walikuwa na unyenyekevu
Hawakuchukua utukufu wa Mungu bali walikuwa ni watu walioitaji YESU AONGEZEKE NA WAO WAPUNGUE
Hawa kuwa Watumishi wenye midomo midomo bali walijuwa kumtaka Mungu na nguvu zake
Walikuwa seriously!!!!!
Committed
HAWANA MASIHALA NA WOKOVU WAO.
Kipekee NAWAPONGEZA WAZEE WETU WA IMANI HAKIKA WAMEFANYA KILA KITU MUNGU AWABARIKI SANA PIA NAPONGEZA WATU WOTE WALIOFANIKISHA MAONO YA WAZEE WETU WA IMANI.
Watumishi wa Kizazi Hiki INAPASWA KURUDI KWA WAZEE WETU WA IMANI KUNA LA KUJIFUNZA NA KAMA KUNA MZEE WA IMANI ALIYE HAI BASI HUYO NI HAZINA YA TAIFA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO tunapaswa kumtumia.
USHAURI KWA RAISI WA NCHI NA VIONGOZI WOTE WA DINI WANAOUNDA UMOJA WA MAASKOFU PAMOJA NA WATUMISHI WA MUNGU MBALI MBALI NA BALAZA LA MITUME NA MANABII TANZANIA.
- Nafikiri kama tungeweza KUJENGA JUMBA LA MAKUMBUSHO LA WAZEE WETU WA IMANI KATIKA NCHI YETU YA TANZANIA INGEKUWA NI BARAKA SANA KWA AJIRI YA KIZAZI CHA SASA NA KIZAZI KIJACHO.
HILO JUMBA LINGEKUWA HAZINA KWA TAIFA.
Historia za Wazee wetu wa Imani hazipaswi kupotea
Na nyaraka zao hazipaswi kuwa YouTube peke yake
NAWAZA TUNGEPATA HISTORICAL CITE YA WATU WA KIROHO especially kwa mababa zetu wa imani na wote watembeao na Mtembeo wa Roho Mtakatifu
Na wote watakaotembea katika uamsho WANAPASWA HISTORIA ZAO KUTUNZWA KATIKA JUMBA MAALUMU.