UKAGUZI WA VYETI VYA UDEREVA ARUSHA NI KERO!
Kumezuka utaratibu wa ukaguzi wa madaraja E na C ambapo walio na madaraja hayo wanasumbuliwa hata wasipokuwa wanaendesha chombo husika (kwa mujibu wa...
Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa
Ahsante.
Nina malalamiko yangu kuhusu Hospitali ya Amana iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam huduma za pale zina huzunisha sana, tulimpeleka ndugu yetu alipata ajali ya Pikipiki, Jumatatu Juni 23, 2025...
Kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (mshahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozidi 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba. Hivi niulize, utajenga...
Idadi ya vifo vya waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba barabara kuu ya Moshi-Tanga wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwa kugongana uso kwa uso na kuungua moto imeongezeka...
Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni...
Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...!
Binafsi katika Utafutaji niliwahi kwenda maeneo flani ndani ya Tanzania huko Vijijini...
Niliwahi kuandika juu ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro kukamata basi la kampuni ya Extra Luxury Coach likiwa na shehena ya dawa za kulevya iana ya mirungi ikisafrishwa kutoka mkoani Arusha...
Nilishtuka baada ya Kila mtu kuniambia nimenenepa sana, ikabidi niende kupima uzito, sukari, pressure n.k Kwasababu nilikua nikitembea kidogo nachoka, na mapigo ya moyo yanadunda kwelikweli...
Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani, Pemba imekuwa kero, katikati ya njia kuna drainage za kupitishia maji ambazo wamezitengeneza kwa zege, nondo zimeshang’oka na zimetokeza juu...
Mkurugenzi mtendaji wa Nukta Africa Nuzulack Dausen anatukumbusha umuhimu wa kuthibitisha Taarifa tunazokutana nazo ndani na nje ya mtandao kwani kutatuwezesha kufanya Maamuzi Sahihi kutokana na...
Mahakama ya Kisutu ambayo haina uwezo wa kuisikiliza.
Mbona ni kama kupoteza muda na raslimali.
Na Tunaambiwa UHaini ni kosa kubwa sana.
Sasa Kwa nini Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Rekebisheni...
“JWTZ hupokea amri toka kwa Amri Jeshi Mkuu na si vinginevyo. JWTZ ni Chombo mahususi kwa shughuli mahususi, tuendelee kuliamini, kulipa uhuru na kuliwezesha kutekeleza majukumu yake bila...
Habarini jamani...
Ni wiki sasa tuko nilivyoingia kwenye mfumo na kumoongeza mtegemezi kwenye mfumo wa NHIF( ambaye ni mwanangu).
Nakajaribu kusoma status nikaona ni "APPROVED" ila kibaya zaidi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa vitendo
Pongezi hizo zimetolewa jana...
Bajeti Kuu ya Mwaka 2025/26 imesomwa. Bei ya gesi inaendelea kushuka, jambo linaloashiria mwelekeo chanya wa nishati safi.
Kwa kuzingatia azma yetu ya kulinda na kuhifadhi mazingira, napendekeza...