Kitu gani kinafanya mama ampende mtoto wake?

Kitu gani kinafanya mama ampende mtoto wake?

Ipo Picha imesambaa wiki iliyopita dume la mamba akiwa kabeba watoto wa mamba zaidi ya mia mgongoni mwake ila hawa wild animal wanathamini sana watoto wao na ni wakali kuliko wanyama wanaofugwa mfano Tembo,Simba,Chui,Rhino...
 
Kuna nadharia na vitu kadhaa vinavyoelezea hii hali.
Kimaumbile kuanzia kwenye vinasaba na vichocheo (hormone) zinazotolewa na mama pamoja na mtoto haswa wakati wa mimba na kunyonyesha husaidia kuongeza ukaribu wa mama kwa mtoto ikiwa na lengo la kuhakikisha mtoto analelewa (nurtured). Hii kwa jamii ya viumbe ni muhimu ili kulinda uwepo wa jamii ya viumbe husika duniani.

Pia jamii za viumbe zimetengeneza matarajio ya kijamii kwa viumbe husika. Ili kiumbe mama akubalike kwenye jamii yake anategemewa kuhusika kwenye hayo malezi. Hii katika kuhitaji kukubalika wa mama wanaona ni muhimu wahusike vizuri kwenye kulea.
Yapo mengine pia, tafuta mtandaoni
 
Back
Top Bottom