Maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani 2025
Mgeni rasmi: Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri Mstaafu wa Masuala ya Usawa wa Jinsia nchini Sweden.
Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174...
Wakati Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi ikikabiliwa na ongezeko kubwa la watoto wachanga, hasa wale wanaozaliwa kabla ya kufikia muda kamili wa ujauzito (njiti), Mpango wa NEST360 kwa...
Ukatili, impunity ya serikali/uongozi wa ccm TOKA JUU MPAKA CHINI inaanza ku permiate mpaka kwa watendaji wa chini huko vijijini.
mauaji ya enock
Soma DOKEZO - Kijana Enock Thomas Mhangwaock...
Kama wewe huwajui vzr wanawake wa kisengerema asee usioe nini shida ni hivi
Siku mkigombana afu wewe ukatoka jua ukirudi unakuta chumba cheupeeee mweee😁😁
Wanaroga sana wanaume safari za waganga...
Kwa vijana ambao ndio mnatafuta maisha basi hakikisha
usitafute mwanamke wa
kujenga naye maisha, tafuta maisha yako mwenyewe ukipata omba Mungu au shirikisha mizimu na ushirikishe akili upate...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Edwin Mhede, ameongoza zoezi la utambuzi na uchanjaji wa mifugo mkoani Njombe, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo...
Je wajua nchi ya Ireland huwaga wana tamasha au festival ya watu wenye nywele nyekundu kila mwaka. Pia Ireland ni nchi inayoongoza duniani kuwa na watu wenye nywele nyekundu asilia bila kuweka bleach.
China has a new divorce law effective 1 February 2025.
Previous all properties owned by either spouse will be equally divided during divorce, now the rule is a lot simpler.
Whoever paid for it...
kuna siku nilimtumia elfu kumi aniombee, akanipigia akanielezea matatizo yangu, ila akaniambia nitume laki na elfu sitini(160,000) ili anitumie package kwani nipo Tanga, nikamwambia sina...
Kuna Jambo sijalielewa hivi inakuaje unahonga mademu , mbwembwe kibao Ila mama yako anapikia kuni , anakunywa maji yenye rangi mchele je hii sio laana ya mtindio wa ubongo.
Mwanzilishi wa PayPal billionaire Peter Thiel anajuta kwanini aliuza hisa zake zote kwenye Facebook.
Billionaire huyo alinunua share za FB 2004 Kwa dollar 500,000 2004 wakati ndo FB Bado Ina...
Zuberi Nkoko (59), Mkazi wa Misuna, Manispaa ya Singida amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya TZS milioni 5 pamoja na simu yake ya mkononi kutaifishwa kwa kosa la kutoa taarifa...
Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha...
Ipo ivi nilikua nachati na mrembo wangu ivi vitoto vya 2000 usiulize umri wangu (sio mada ya leo) sasa yeye hana simu anatumia ya baba yake iyo ni siku zote tunawasiliana ivyo Bado mwanafunzi...
Miongoni mwa faida za kuwa single ni kujipanga kiuchumi, kujijenga kiafya na kutimiza malengo.
Natamani kuwa single hata miaka miwili ili nijipange ila kila nikitoka nje nikikutana na wanawake...
Jana nimepata ajali ya bodaboda, nashukuru sana Mungu sijaumia sana
Ila mwanaume ukipata ajali hutakiwi kupiga piga simu hivyo kuomba msaaada Wala kutoa taarifa kama unajiweza maliza kila kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.