Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kabla ya kuufichua huo utapeli, hebu tuwasikilize kwanza hawa manabii feki: Nabii XXL: Aisee, hizi sadaka tunazopata hazitoshi kununua ndege, na kutufanya tuishi maisha ya kifahari. Naomba tubuni...
26 Reactions
117 Replies
6K Views
Huko tuendako utasikia vumbi la upako toka Maka Shekhe Mazinge naye kaunga juhudi za harakati za upako. Jana nilipokuwa nashuhudia juu ya Shafii na Mazinge wanaomwita Dr. Sule mnganga, nao sasa...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Unaweza kumtaja Seymour Hersh kuwa ndo mwandishi bora wa habari za uchunguzi duniani, jina la Hersh ndo lilibeba habari ya kufichua yaliyojili huko Vietnam kwenye My Lai Massacre, lakini wapo...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Nguvu kubwa sana inatumika kuzima huu moto, Watu wameuawa, wengine wamejeruhiwa, wengine wamepewa kesi za uhaini na uhujumu uchumi, kisa tu wameonyesha msimamo kwamba tume ya uchaguzi si huru na...
1 Reactions
2 Replies
257 Views
Kwa miezi kadhaa sasa, picha na video kutoka Jamhuri ya Dominika zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, zikionesha maafisa usalama, polisi na wanajeshi wakiendesha...
3 Reactions
19 Replies
899 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira, Vijana naWenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (wa tatu kutoka kushoto) alipotembelea Banda la Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB...
1 Reactions
4 Replies
354 Views
Yaliyomkuta Mfalme Daudi. Mipango ya Mungu na Udhaifu wa Binadamu: Hadithi ya Daudi na Absalomu Katika safari yetu ya maisha, mara nyingi tunajiuliza ni kiasi gani cha hatima yetu kimepangwa na...
3 Reactions
12 Replies
868 Views
Hivi ukiachana na vita supreme,, lipi godoro lingine lipo kwenye ubora kwa bei ya 250k🤭🔥
2 Reactions
14 Replies
750 Views
Hapa naziita taasisi zote za kiislamu kuanzia Bakwata, Sunni jamaat,shia n.k Uislamu ni dini iliyojipambanua kama dininya haki na misimamo ya haki, kujali utu na heshima Kwa watu wote Kumekuwepo...
1 Reactions
12 Replies
602 Views
Usichokijua kuhusu TECNO SPARK 40 na mambo yaliyofichwa ndani yake !!! Kampuni ya TECNO imeachia matoleo matatu ya SPARK 40 Series; ✔ TECNO SPARK 40 ✔ TECNO SPARK 40 PRO na ✔ TECNO SPARK 40...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Hakuna kitu rahisi katika ulimwengu haya mabadiliko tunayotaka ni namna nzuri ya ukoloni kudhibiti akili za wafuasi dhidi Nguvu kubwa inayotawala,siwezi kukataa kuwa maendeleo kwa namna fulani...
0 Reactions
22 Replies
588 Views
Mnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!! Watu wabaya sana na uchawi upo..unaambiwa alafu unajibu namtegemea MUNGU..unasema unamtegemea MUNGU wakati...
12 Reactions
60 Replies
3K Views
Hospitali ya Amana imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwananchi aliyeandika kupitia JamiiForums.com kuhusu changamoto ya Huduma ya Ambulance ambapo alisema zipo mbili lakini Dereva ni mmoja na hivyo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
VITO - MADINI - DHAHABU - UTENDAJI WAKE. MOONSTONE : JIWE LA THAMANI LINALOSAIDIA WANAWAKE KUSHIKA MIMBA! Sehemu ya nne Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Ukisoma Elimu ya Vito, utagundua jinsi...
0 Reactions
2 Replies
416 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Tume ya Ushindani wa Haki (FCC) imechukua hatua madhubuti kuimarisha uelewa wa sheria za ushindani miongoni mwa wajasiriamali wadogo na wa kati kwa kuzindua...
0 Reactions
1 Replies
204 Views
Katika hadithi ya jinsi waumuni walivyopatiwa kuswali sala 5 kwa siku inasemwa kwamba mtume akiwa katika safari yake mbinguni alipokutana na Allah alianza kwa kupewa sala 50 kwa siku, mtume...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Jamani wanajamvi kuna jamaa alinialika kwenye group niseme la maombi amenialika siku nyingi niende leo nikaamua kwenda katika mambo aliyonihubiiria ni kama yafuatayo: 1.Ulazimishwaji wa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
238 Views
Mwaka 4 huu yanga bila bila serikali ya Samia imekwamisha vibari na eneo kidogo la kuongezwa kujenga uwanja Je Mwamposa ni special kuliko taasisi zingine za umma? Vibali vya ujenzi wa uwanja...
0 Reactions
2 Replies
510 Views
RC Chalamila kwenye Uzinduzi wa Kanisa la Mwamposa amesema; Mwaka jana Askofu Maboya alipendekeza awe Shemasi wa moja ya Kanisa la Mwamposa
0 Reactions
9 Replies
655 Views
Salute! Haraka haraka bila kupoteza muda niruke kwenye mada husika ndugu zangu... Siku kama 2 zilizopita nilipost uzi hapa JF forums, LINK: Ontario's mere prediction about the future, yajayo...
82 Reactions
442 Replies
61K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…