Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa onyo kali kwa kundi la watu wanaodaiwa kufanya vurugu mara baada ya ibada katika maeneo ya Kibo, Ubungo, likisema halitavumilia vitendo...
Muda huu, waumini wa Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) Ubungo Kibo wameanza kutoka baada ya kumaliza ibada kwa utulivu, huku polisi wakiendelea kusimamia usalama bila kuwabugudhi wala...
Niwe tu mkweli, huyu Rais Samia Simpendi
Natamani hata kesho ifike tamati ya uongozi wake.
Nikiitazama Tanzania ijayo chini ya uongozi wake naiona ni nchi maskini miongoni mwa nchi maskini kwa...
Soko la Stereo limekuwa na changamoto kwa wafanyabiashara.
Mnamo tarehe 11/04/2025 soko la stereo lilivunjwa kwa upande ili kupisha ujenzi. Wafanyabiashara tukahamishiwa barabarani kwa muda...
Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa.
Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini...
Asalamaliku!, Bwana yesu asifiwe!, Shalom shalom!, Tumsifu yesu kristo!,
Huwa ni kawaida yangu kushiriki katika mijadala mabalimbali ihusuyo masuala ya dini (Quran & Bibilia)/uwepo wa mungu...
Kanuni za physics zinazema hakuna space ambayo haina mmiliki. Yaani hakuna empty space. Hata binadamu hayuko empty lazima aidha awe milki ya shetani au Mungu.
Turudi kwenye ngazi ya Taifa
Ili...
Habari.
Ni masikitiko makubwa kwamba maeneo ya Ilala Gorofani, Sokoni, Bungoni, Sharif shamba, Karume, Mchikichini hayana maji safi Kwa zaidi ya mwezi mmoja Sasa.
Cha ajabu ukipiga simu huduma...
Katika kizazi hiki ambacho dini nyingi zinatupa mzigo wa sheria, masharti, mafundisho ya kuogofya na mizigo isiyobebeka, ukweli huu wa ajabu unafichwa: KUINGIA MBINGUNI NI RAHISI KULIKO KUPOTEA...
Wakuu mpo?
Hili ni swali kwa wadau wote, Nyerere alileta ujamaa ili wa Tanzania waishi pamoja walime pamoja wale pamoja na kufanya shughuli zao kwa ushirikiano
Yeyote aliyeonekana kuwa na ukwasi...
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM), lililopo eneo la Ubungo Kibo jijini Dar es Salaam, leo wameendelea na ibada zao kama kawaida licha ya kuwepo kwa ulinzi mkali...
"Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, akae nanyi milele. Huyu ndiye Roho wa kweli, ambaye dunia haiwezi kumpokea kwa sababu haiwezi kumwona wala kumjua. Lakini ninyi mnaujua kwa...
Jeshi la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo ya Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, kufuatia taarifa za uwepo wa hatari ya vurugu baada ya ibada.
Hatua hiyo imekuja baada ya Kamanda wa Polisi...
Kusema ukweli Binaadamu kuyafurahia maisha kunaambatana na utimamu wa mwili.Mtu unapokuwa Mgonjwa hoi unapoteza kabisa hamu ya kuishi.
Mara kadhaa nimewasikiliza Watu wanaopitia wakati mgumu...
BAADHI ya wakazi wa Kata ya Tungi katika Manispaa ya Morogoro wameeleza namna kisima cha maji kilichojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Abdulaziz Abood, kilivyokuwa mkombozi wa...
Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa...
Na; Joseph Malekela, Dar es Salaam, Tanzania - Mei, 2022.
Miaka ya hivi karibuni, kumeibuka tabia ya kulalamika katika jamii ambapo kundi moja hunyoosha vidole na kutupa lawama kwa kundi jingine...
Wasalaam
Kutokana na kuaminiwa kwenye maisha ya watu wakati mwingine baadhi ya watu wa kada hizi mmekuwa na mambo ya ajabu
Mwalimu na polisi wengi wenu sio wote...huwa ni wajuaji kuliko...