Mwinjilisti akimbia baada ya kumpiga swali linalomgusa

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,548
Reaction score
49,990
Asalamaliku!, Bwana yesu asifiwe!, Shalom shalom!, Tumsifu yesu kristo!,

Huwa ni kawaida yangu kushiriki katika mijadala mabalimbali ihusuyo masuala ya dini (Quran & Bibilia)/uwepo wa mungu.

Leo nikiwa kijiweni majira ya saa nne asubuhi nikiwa kijiweni nilikuta mwinjilisti mmoja aliyepata kuheshimika sana katika maeneo haya akimhamasisha mtu mmoja anayedaiwa kuwa amekengeuka kiimani kuwa mlokole.

Baada ya kuwasalimia huku nikipiga hatua kwenda mbele wakanisimamisha na kuniita ili niwape uelewa kidogo kuhusu masuala kadhaa kuhusu imani za kidini na uwepo wa mungu, maana wanafahamu kuwa Mimi katika masuala yahusuyo kanisa si haba.

Nami sikusita kujumuika nao katika mjadala, lakini nikaona mwinjilisti alikuwa anatoa hoja yenye mapungufu mengi jambo lililonifanya nianze kumtupia masuali kadhaa ili kujua kama yuko vyema katika kada yake ama amebaka tasnia ya uinjilisti.

Masuali yangu yalimkandamiza vibaya hadi suti yake ya Kaunda ikaloana kwa jasho litakanalo na aibu, hasira na ghadabu ya kudhalilika, yaani ilikuwa balaa tupu nawaambia.

Kweli nilimpiga masuali magumu mno amabalo hakuna mchungaji yeyete wa kitanzania angeweza kuyajibu lakini swali Moja jepesi lilimuuma hadi akaanza kulia kwa sauti hadi watu wangi walikuja mbio mbio kuja tulikokuwa tuanalumbana.

Hili 👇ndilo swali lilimumchoma mwinjilisti wa watu kumoyo.

"Kwa mujibu wa dini ya kikristo kuzaa mtoto nje ya ndoa ni haramu, lakini huyo mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa kanisa linampokea na anaweza kuwa mtumishi mkubwa kanisani. Sasa iweje mtu aliyepatika kwa mchakato haramu apokelewe na watu wanaouona mchakato huo uliotumika kumleta huyo mtu haufai? Huoni kuwa huo ni utakatishaji?"

"Pia kwa nini mungu anaruhusu mwenye uwezo aruhusu mimba kutunga pindi watu amabao hawako kwenye ndoa wanapogegedana..."

Kwa kweli swali like lilimfanya jamaa akaanza kulia hadi akakimbia kuelekea kwenye ghetto lake, watu walijua anaenda kuchukua silaha ili anidhuru wakamkimbiza kwa nyuma lakini wakakuta jamaa anachukua sumu ya panya akitaka kujimaliza kisa swali la mtumzima secretarybird lilimuuma na kumchoma kumoyo. Kwa bahari watu walimwahi na kumpokonya ile sumu na kumpeleka kituo Cha polisi kwa mahojiano.

Kumbe mwinjilisti alizaliwa nje ya ndoa na hadi leo hamjui baba yake maana mama yake zamani alikuwa nanagawa uchi kama njugu na matokeo yake ndiyo mwinjilisti huyu wa Leo asubuhi.

Nilisikitishwa na kucheka kwa wakati mmoja kutokana na tukio lile.
 
Setfree njoo.
 
Back
Top Bottom