Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kobisi ni muigizaji ambaye amejipatia umaarufu hivi karibuni mbali na kuwepo kwenye game kitambo. Tamthiliya ya kombolela imemfanya Kobisi aonekane na ajulikane. Kobisi ni kijana mkubwa mwenye...
9 Reactions
11 Replies
715 Views
Hii sio chit-chat wala chai. Ni habari ya ukweli. Kuna mtekaji mahiri duniani anayewateka watu kwa urahisi kabisa bila vitisho wala silaha. Mtekaji huyu ameteka mamilioni ya watu, wazee kwa...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari za Leo Wadau, Nina shida na namba za Ofisi ya Rita- Ilemela. Hata nikipata za mtu anayefanya Kazi Halmashauri ya Ilemela it's good for further follow up. Hearing from you guys, it's urgent.
1 Reactions
6 Replies
320 Views
Mzuka wana jamvi .. Hawa jamaa pamoja na kufanyiwa Wema mkubwa kwa kuleta Manabii na wengi lakini wanaongoza kuwakataa ,kupinga Amri zao na kuwaua , mifano halisi ; 1. Yesu : Huyu walimfanyia...
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Wakuu, Jana nimeona NECTA wameachia rasmi matokeo ya Form 6 kwa mwaka 2025 kwa kweli nikakumbuka mbali sana miaka kadhaa nyuma. Nakumbuka nilikuwa nyumbani siku hiyo nimekaa na mwanangu...
1 Reactions
7 Replies
637 Views
Enzi zetu tukiwa Mabibo Hostel kuna mama alikuwa maarufu sana eneo lile alokuwa ana.mgahawa wake maeneo yale ambao ulikuwepo njia ya kuelekea geti la Hostel za mabibo alikuwa anaitwa mama mwarabu...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Ni hilo tu nauliza
0 Reactions
13 Replies
635 Views
Chale za wanga ni aina ya mihuri ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi. ukishawekwa mihuri hiyo huwa ni ngumu kutibika na huishia kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo ambayo ni alama ndogo sana na...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Eti wakuu tuna wanasayansi hadi leo za PhD wanafanya nini cha kuikwamua jamii kama hadi leo repellant za mmbu wa malaria tu hatuwezi kuzitengeneza?
3 Reactions
59 Replies
2K Views
Kama unataka kujijua kuwa Una positive energy. Hizi ni baadhi ya sifa. -Ukiona unapendwa Sana na watoto wadogo 1-5 , watoto wadogo Mara nyingi wana uwezo wa Ku-sense positive Energy -Ukiona...
22 Reactions
30 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Mhandisi Machibya Masanja ametembelea banda TRC katika maonesho ya kimataifa ya biashara (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. J.K...
1 Reactions
0 Replies
248 Views
Habari, Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania? Mimi ninashinda ya masikio kupiga kelele kutokana na sikio la ndani kuwa na shida. Nimehangaika sana mahospitalini lakini shida...
3 Reactions
7 Replies
356 Views
Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani...
2 Reactions
26 Replies
868 Views
Mimi ni mjasiriamali. Nimekopa benki 4 kwa kawaida Nina kipato Cha mil 2.5 kwa mwezi, hiki kias huingia kwa guarantee ya si chini ya 2.5m huingia japo inaweza kuzidi kulingana na biashara zangu...
1 Reactions
4 Replies
387 Views
Tunachoambulia ni kuinunua hio ziada kwa kukopa juu ya kukopa, tukitegemea tutachukuliapo kidogo kutoka kwenye akiba ila kiuhalisia tunajikuta tunaanza kuimega na faida pia maana ziada ya kuinunua...
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anasema kuwa polisi wa Tanzania wanapitia kwenye mafunzo ya kufundishwa utu kwa wananchi hata wakitaka kuja kukukamata lazima waombe Kwanza na wakikuta...
18 Reactions
104 Replies
8K Views
Mheshimiwa Rais, Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, PhD Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima kubwa, naandika ujumbe huu kwako kama kijana mzalendo wa Tanzania na Afrika nzima...
1 Reactions
11 Replies
730 Views
Anonymous
Nina malalamiko kuhusu Kuanzishwa kwa Dampo (Jalala) Katika Nyumba ya Serikali, Eneo la Ntengere – Igulwa, Bukombe, katika kuliweka hili sawa kuna ushahidi wa picha zinazolionyesha eneo hili kwa...
0 Reactions
1 Replies
715 Views
Wakuu! Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
4 Reactions
30 Replies
2K Views
1. Je, Mungu huonekana? Kutoka 33:20: "Hutoweza kuniona uso wangu, maana mwanadamu hataniona akaishi." Vs Mwanzo 32:30: Yakobo alisema, “Nimemwona Mungu uso kwa uso...” 2. Je, Yuda alikufa vipi...
2 Reactions
88 Replies
3K Views
Back
Top Bottom