Serikali ya Tanzania imetangaza malengo yake ya kiuchumi katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ikiwa ni pamoja na kuhakikisha Taifa linafikia pato la Taifa la Dola za Kimarekani Trilioni moja na...
Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa kijijini je mkiwa mnafikiria jambo lolote huwa mnatumia lugha zenu za Asili.?
Maana Mimi binafsi huwa natumia kiswahili., kwakuwa sijakulia kijijini , .
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu...
Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi.
Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi...
Katika jamii nyingi zinazozungumza Kiswahili, maneno "shikamoo" na "marahaba" yamekuwa sehemu ya mawasiliano ya kila siku, hasa kati ya vijana na wazee. Lakini ni muhimu tutafakari upya historia...
MHUBIRI 7
Ukweli wa maisha
1 Heri sifa njema kuliko manukato ya thamani;
Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa.
2 Heri kuiendea nyumba ya matanga,
Kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana...
Ukiangalia dunia katika mtazamo wa asili yake utagundua ipo katika mfumo tegemezi, yani wewe-mimi-miti-wanyama-maji-hewa, ni circle ambayo mmoja ikitoweka mazima basi balance inakosekana...
Kama hujatembea mataifa ya wenzetu unaweza usielewe hii kero niisemayo hapa.
Ukweli ni kwamba barabara zetu zinawekewa matuta ya kikatili na ya hovyo sana, licha ya haya matuta kuchangia...
Wakuu,
Kwa waliopo BUKOBA mwenye moyo wa upendo na huruma, naomba niwakaribishe kuungana nami tarehe 26/7/2025 katika safari ya baraka kutembelea wahitaji kutuo cha kulelea watoto yatima TUMAINI...
Niliwai leta mkasa wangu nafikri wapo wanao kumbuka baada ya kutoka Mozambique.
Akuna muda wa kupoteza
Tuendelee Sasa
Baada ya kurudi hapa tz nyumban nikiwa mfukoni Nina elf 30 TU naikimbuka...
Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu...
Jamani hii maana yake nn ivi kwann mafundi simu wengi sana yaaan wengu huwa ni maotadh wa dini ya kiislamu alilimia 99 ni kwann fundi simu na ushekhe vinamausiano gani asanteni
Naomba msaada. Mimi niliomba passport ya kusafiria trh 30/03/2023 pale ofisi kuu ya Uhamiaji Kurasini. Nilimaliza taratibu zote za malipo, kupiga picha, Fingerprint na yule ofisa wa Uhamiaji...
Mzazi kumsomesha mtoto haipaswi kuwa uwekezaji unaosubiri faida siku moja. Watoto hawazaliwi kama mikataba ya kurejesha mkopo. Wanahitaji malezi bora, elimu na upendo—si kwa sababu watatulipa...
Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza swali moja: Hivi ni lini tutaanza kuwajibika kwa maamuzi yetu binafsi, hasa yale ya kiuamuzi kabisa kama kuingia kwenye ndoa...
Kwa wanaopitapita kwenye mitaa ya miji yetu hasa Dar, watakubaliana nami kuwa Tanzania ni mojawapo inayochezewa na kunyonywa na wachina. Walianza wahindi na sasa wanafuatia wachina. Je, sie tuna...
Hali ni tete na inahitaji hatua za haraka ili kuokoa sekta ya ujenzi na huduma za kijamii zinazotegemea wakandarasi. Bila hivyo, miradi mingi itakwama na uchumi wa ndani kuumia zaidi.
Wakandarasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.