Kila mara kukiwa na hafla za kidini..waislam wengi naona hupenda kumualika Waziri Mkuu Kassim Majaliwa..ashiriki ibada pamoja
Lakini imewahi kutangazwa kuwa Kassim Majaliwa alibadili dini na kuwa...
Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi.
Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania...
Msikilize huyu mtanzania!!
Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu!
Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa...
Askari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho.
Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote...
Kwema Wadau!
Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi.
Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na...
Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi. Mimi niliajiriwa katika kampun ya Tanzania Tooku Garments Company Limited na nimemaliza mkataba wangu kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni wa muda...
Cheti cha kuzaliwa kina majina matatu. Vyeti vyote vya shule vina najina mawili. Ni taratibu gani naweza kufanya ili majina yangu ya vyeti vya shule niweke jina la tatu ambalo liko kwenye cheti za...
Tukio hili linashangaza sana na linaendelea kugonga vichwa vya habari duniani. Wahandisi wa ujenzi waliobobea katika kubuni, kupanga na kusimamia ujenzi na matengenezo ya miundo ya majengo...
Je, kuna haja ya kuagiza nguzo kutoka south Africa au kuharibu misitu wakati cement tunayo, kokoto tunazo na mchanga tunao?
=================================
Nguzo hizi zinauwezo wa kudumu...
Ni aibu kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo maana Makabe barabara ni mbovu na hazipitiki kabisa.
Kuna foleni kuanzia Mwanza garage hadi Tabata Kavimbilwa. Wahusika punguzeni siasa tunataka barabara.
Wakenya ndani ya msiba
WAKENYA NDIO KUFIKA KWA JAMAA NA RAFIKI WA MAREHEMU BONFACE KARIOKI MWANGI KWELI KUFIWA MWANA NI UCHUNGU SANA NDIO HIO MAMBO TUMEPATANA NAYO HUKU NI UZUNI NA FURAHA RIP
Ni kero ya muda mrefu na inaendelea kutuumiza wakazi wa makabe kuelekea Msumi.
Porojo za siasa zimekuwa nyingi huku wananchi wanateseka huku wahusika wakikaa kimya .
Muda huu kuna foleni kubwa...
Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu
Je, binadamu ana uhusiano wowote wa kweli na nyota? Je, tunaongozwa nao? Tumetokana nao? Au nyota ni mapambo tu ya anga, kama taa zisizo na maana zaidi ya...
Jina lake: Brian Acton, alikuwa mtaalamu wa kompyuta. Alifanya kazi kwenye kampuni kubwa sana (Yahoo) miaka mingi.
Alichoka kazi, akaamua kujitafutia maisha mapya.
Aliomba kazi Facebook...
Rushwa ni tatizo la Kidunia lenye madhara makubwa kwa mtu, jamii, nchi na mataifa kwa ujumla. Rushwa imetumika kupoka haki za watu kwa kumnyang’anya haki yeye aliyeistahili na kumpa yule...
Wakuu shobo mbaya aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae
Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa...
Wakati Wizkid alipoanza kupata pesa, aliwaita kaka na dada zake wote kwenye kikao. Akawauliza kila mmoja anataka kufanya nini. Kila mmoja alitoa mpango wa biashara, naye akawapa mtaji mara mbili...
Wakuu ipo hivi
Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti)
KAZI ya vishoka
Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu.
Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa...