Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aisee hivi Kuna fundi wa kurekebisha kioo cha hii Casio?
5 Reactions
13 Replies
589 Views
Waafrika wanapenda na wanaona ufahari sana kula Mikate, Soseji, tambi, Sambusa, Pizza, Wali, biriani, Chips, crips, Shawarma na vyakula vingine vingi kutoka sehemu mbalimbali za dunia ila huko...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Salaam, Shalom! Njooni tujadili, Nikiongea Mimi sana, labda nakuzuia pia kufikiri in deep. Ni hivi, KITABU CHA( Genesis 3:17, 4:10-11) Kaini anafanya suiside, anamuua nduguye Habil, damu...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
📌Mhe. Queen Sendiga azindua rasmi mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku mkoa wa Manyara . 📌Mitungi 16,275 kusambazwa mkoa mzima. 📌Kila wilaya kupata mitungi 3,255. Mkuu wa...
2 Reactions
12 Replies
751 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) Julai 12, 2025 kimeandika “Tunapenda kuutaarifu umma kuwa leo tarehe 12 Julai 2025 Bw. Leonard Joseph Magere...
0 Reactions
44 Replies
2K Views
"Katika siku za Mfalme Herode, baada ya Yesu kuzaliwa Bethlehemu ya Uyahudi, Mamajusi kutoka Mashariki walifika Yerusalemu." (Mathayo 2:1) Hii ilikuwa karibu mwaka wa 4 KK. Kisha Mathayo anasema...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
My Take Hakuna ndege hapo walionunua wamepigwa gharama za Bure wakati mindege yenyewe inaonekana kwenye radar. https://www.instagram.com/reel/DLuOf7_MeME/?igsh=MW1td3VhZTcyd3RkbA==
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa, Natumaini wote mko salama. Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo)...
2 Reactions
2 Replies
443 Views
Wanaume, Siyo kila mtu katika sehemu yako ya kazi ni rafiki yako. Fanya kazi yako. Pokea malipo yako. Rudi nyumbani. Wenzako wa kazini si marafiki zako. Kila mtu yupo pale kwa sababu ya kipato...
10 Reactions
14 Replies
1K Views
Je serikali ilipigaje hizi hesabu , wanafunzi ambao wapo darasa la nne wataingia secondary mwaka 2028 na ambao wapo darasa la tano wataingia 2028. Je ikiwa tutautekeleza huu mtaala Mpya , maana...
2 Reactions
7 Replies
470 Views
Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za...
4 Reactions
58 Replies
6K Views
Makamu wa Rais Muheshimiwa Philip Mpango alidai kuwa ametosha kuwa Makamu wa Rais na hakutaka kuendelea kuwa Makamu kwa muhula wa Urais ujao ambao Rais Samia bado anautetea. Mpango ametaka...
2 Reactions
3 Replies
585 Views
Nilikua naishi mazingira ambayo niliona kama hayana mambo mengi mazuri, Yani ikawa kama nmeyaishi Kwa Miaka mi3 nikayachoka nikatamani niishi sehemu nyingine yenye mazingira Fulani tofauti...
5 Reactions
24 Replies
862 Views
Uhusiano kati ya Yesu na Mariamu Magdalene umekuwa mada ya mjadala mkubwa kwa karne nyingi. Ingawa Injili za Agano Jipya hazitoi ushahidi wa moja kwa moja kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati yao...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakati wa utawala wa JPM, Tanzania ilifuta utaratibu wa visa on arrival kwa raia wa Nigeria. Lakini cha kushangaza ni kwamba jamaa hawa wa Afrika ya Magharibi wanaendelea kujaa kama "kumbikumbi"...
34 Reactions
93 Replies
9K Views
Uswege = unisamehe Andungwise = ameniongoza Ambwene = ameniona Mwalugano = mwenye upendo Negwako = niwe wako Andombwise = ame nivusha Tusajigwe = tumebarikiwa Ambele = amenipa Subiraga=...
29 Reactions
291 Replies
10K Views
Hell Je ni somo gani umejifunza katika maisha ungependa wajifunze wengine pia distance relationship ina nionyesha kuwa ni kwanini bank ina tawi kila sehemu. Vipi kwa upande wako
14 Reactions
241 Replies
5K Views
Habari wana jamvi nimekuja na tatizo apo nisaidiwe nina tatizo la kushtuka baadhi ya muda bila kufanya kitu chochote yaan ata kama hakuna kitu cha hatari naweza kuwa nachesea simu nikiacha...
2 Reactions
11 Replies
713 Views
Maneno ya direct magumu magumu yanaumiza sana mioyo🤣. NB: Nachukua notes kwa matumizi ya baadae
1 Reactions
2 Replies
203 Views
Back
Top Bottom