Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa
- Hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533]
-...
Kaaba, pia inajulikana kama Al-Kaaba al-Musharrafah, ni jengo la mstatili lililopo katikati ya Msikiti Mkuu wa Makka, Saudi Arabia. Ina historia ndefu na ina umuhimu mkubwa katika Uislamu.
Asili...
Serikali imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe.
Kati ya fedha hizo jumla ya Shilingi Bilioni 4.360 zimetolewa kwa ajili ya...
Habar za mda huuu wakuu
Kwa watumiaji wa android Tv naomba kuuliza aiseh nmenunua smart tv na lengo langu nlikuw napenda kutumia Netflix ila kuna kipengele nikiwa nafungua Netflix inaniletea get...
Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..
Nimeosha sana na Steel wire
Ila bado nitumie njia...
Wananchi wa vijiji vya Tsawa na Tipri kata ya Gehandu wilaya ya Mbulu mkoani Manyara wamefurahishwa na kukamilika kwa daraja lililojengwa na kwamba baada ya kuteseka kwa miaka mingi na kusababisha...
Koala ni mnyama mdogo wa porini anayepatikana nchini Australia. Ingawa mara nyingi watu humwita "dubu koala", kwa kweli si dubu bali ni mnyama wa jamii ya wanyonyaji wa marsupial, wenye mfuko wa...
Je, ulijua kwamba fisi hupitia moja ya uzazi wenye maumivu na ugumu zaidi kati ya wanyama wote? Fisi jike ana anatomia ya kipekee ya uzazi—kile kinachoonekana kama uume ni kisimi kilichorefuka...
Mbona betpawa uki withdraw hela ni chap kwa haraka unapata message hapohapo hawa sportpesa wanaenda taratibu Sana kwenye malipo jirekebisheni kama mko ndani hapa.
Midomo yote itazibwa,masikio yote wasioamini watahisi dunia imetulia,macho ya wasioamini watapekecha ×2 kumuangalia shujaa wao kama kweli hayupo,lakini hawatamuona .
Hilo ni anguko kubwa ni...
Ladies kuna njia nyingi za kujipa promo humu zaidi ya "ku-belittle" wanaume ili muonekane matawi fulani hivi.
Anyway sishangai sana maana hamna masikini humu, kila kidume humu anatembelea crown...
Hivi, kwa nini watu wanaomuamini Mungu wakisoma posts za wasioamini katika uwepo wake, wanaumia na kuona kama kuna viumbe hawana akili.
Wakati huo huo, wasiomuamini huyo Mungu, wanawaona wenzao...
Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa...
Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.
Alijitolea nafsi ili...
Mimi moja ya vijana wenye ndoto na Ulaya binafsi yangu sina connection yoyote ya kwenda huko ila nakumbuka zamani nikiwa shule ya msingi nilikuwa na ndoto za kupata mwanamke wa KIZUNGU Ili iwe...
Majibu ya Ajira za mkataba za afya zilizo chini ya TAMISEMI kwa kushirikiana na benki ya dunia zilizotangazwa mwezi wa 12 mwaka jana yametoka leo, Ila cha ajabu ni kwamba wale waliopata wengi ni...
Ni ajabu sana kuona Daktari aliyesoma miaka 5 na kukaa hospitali mwaka mmoja yupo mtaani kwa kukosa ajira, juzi nimekutana na daktari aliyemaliza mwaka 2020 Udom, ni dereva bodaboda.
Nimeambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.