Ebana leo nimekumbuka mwaka 2022 nikiwa mgeni mkoa x. Nilienda mkoani humo ili kuanza kazi katika kampuni flani, nilipofika niliwakuta ma brothermen na maisha yao wapo gud so mbaya wanaishi nyumba...
Hana Mashamba au Mifugo ili ajikite zaidi huko? Anapata kweli hata muda wa Kucheza na Wajukuu zake ambao ni wengi kama Timu mbili za Mpira?
Na kwanini kila akiwa katika Matukio ambayo hualikwa...
Ili kupindisha ukweli usijeshangaa Dotto Magari, Mwijaku na machawa wengine wakaanza kumchambua Polepole utazani wanajua siasa za ndani ya chama.
Kutatililika nyuzi za ajabu leo kila kona na...
Nilifanya kautafiti kadogo juu ya Profile picture na picha wanazoweka watu kwenye Account zao za mitandao ya kijamii.
Nikabaini mambo yafuatayo:
1. 90% ya walioweka picha Nusu/Passport size...
Watu watatu wamefariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili wa kidato cha nne, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha pikipiki yenye namba za usajili MC 534 DYX iliyokuwa ikiendeshwa na Baraka...
Maisha bila mitandao ya kijamii inawezekana huu ni mwaka wa nne sasa no fb, no instar no twitter
Kilichobaki ni Jf tu
Muda upo wa kutosha kusoma vitabu, kufanya kazi, kutafakari na kukaa na...
Nipo South Africa siku ya tatu hii. Nlikuwa narudi toka China. Nikiwa kwenye ndege First Class nikaenda wash room ndo nikagundua nimetokwa na kipele(pimple) kwenye mkono.
Niliomba nishushwe South...
Umuofia kwenu, kwa takribani miezi minne sasa nilishuhudia mbegu mpya kabisa ya panya nyumbani kwangu.
Panya hao wana muonekano tofauti na hawa wetu na cha ajabu kabisa wanawawinda panya wale wa...
Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram .
Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
Wamefunga Facebook, Youtube na Twitter wameshafunga. Kitakachofuata ni...
aise mimi kumaliza kopo la lita 1.5 kwa siku huwa nafanya kwa kujilazimisha, kunywa lita 3 kwa siku labda niwe nimefanya mizunguko sana kwenye jua, tofauti na hivyo nikinywa lita 2 tu huwa nakojoa...
Chimbuko na Asili ya kabila la wa Chagga inaonyesha kua walitokea Afrika kaskazini upande wa Mashariki mwa Afrika yaani pande za Ethiopia/Uhabeshi, asili yao kuu waliitwa wa salsha hilo ni neno la...
Kwema ndugu, natumai kila mtu ni mzima wa afya.
Sinza na Kinondoni ni kata mbili tofauti zilizopo katika mkoa wetu mzuri wa Dar es salaam.
SINZA ambayo inatambulika kuwa kwa wajanja, ipo katika...
Mheshimiwa waziri inaumiza kwa kitendo hiki cha Uongozi wa shule hii kuwakomoa vijana hawa wa kidato cha sita wanaotarajia kuanza mitihani yao ya kitaifa mwezi May.
Kwa kifupi. Ni kwamba...
Nimenunua Simu hiyo hapo juu hata mieziv4 haijapita ila imeanza matatizo baada ya update iliyopita.
Nimejaribu mafundi wao hapo mlimani naona wamechemka.
Shida inazonipa ni hizi.
1. Unaweza...
Kifo hakieleweki; wengine tutakufa kabla ya uzee,
wengine tutazeeka kwanza kisha umauti utatufika
Nguvu tulizo nazo zitaisha, matumaini yatayeyuka, na hatutakuwa tena na nafasi ya kurekebisha...