Nimenunua Simu hiyo hapo juu hata mieziv4 haijapita ila imeanza matatizo baada ya update iliyopita.
Nimejaribu mafundi wao hapo mlimani naona wamechemka.
Shida inazonipa ni hizi.
1. Unaweza fungua program kama whatsup halafu inaifunga ( close) bila taarifa wala maelezo.
2. Ukitaka kuview attachement yoyote inakuambia huwezi kuview au huna memory ya kutosha wakati nimetumia 47Gb kati ya 512 zilizopo.
3. Ukitaka kudownload kitu say tik tok inakuambia memory imejaa hivyo nunua cloud memory
4. Ukitaka kutuma attachment inakataa kuatach kwa maelezo hiyo attachment haipo kwenye simu wakati naiona.
5. Ukitaka kutuma sms zinafail wakati nina sms bundle na data bundle la kutosha nk
Mwenye kujua jinsi ya kuondoka na hii kadhia tafadhali share maana naamini ni aoftware issue