Huyu Kijana nimekuwa nikimuona Ana brag anawatukana wakenya kuwa hawana pesa n.k
Ila sasa MTU ambaye hajui matumizi ya H na A na hajui matumizi R na L unaweza kumsikiliza.
Huyu ni motivation...
Hili sasa lifike Mwisho. Na Lazima tukumbuke kwamba tuko mwaka gani.
Sitaki amini eti, AFYA YA AKILI kwa matukio haya. Hapana
Dkt. Gwajima D njoo utuambie shida ni nini. Mauaji ya hovyo...
NILIKUWA NASOMA TAARIFA MOJA YA AJALI YA AIR INDIA
KTK MAMBO YALIYOSABABISHA AIR INDIA KUDONDOKA KUNA KIFAA CHA MAMBO YA MAFUTA WALIKIWEKA OFF BADALA YA ON KABLA YA TAKEOFF
RUBANI MSAIDIZI KUJA...
JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025
idadi ya sms ndani ya nchi imeongezeka kutoka sms bilioni 50...
🩸 "Sio dharau, ni self-protection!"
1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa
Mtaa una macho lakini hauna moyo.
Watu waliocheka na wewe jana, wakiona unainuka, ghafla wanakuona kama adui.
Kuhama ni kukwepa...
Kama ndio tumefikia hapa naanza kuelewa kwa nini wameamua kumkomesha gwajima kwa waumini wake.
Sasa tunaona kwa polepole kuanza kuteswa ambao hata sio wahusika.
Ili taifa linapita wakati mgumu.
Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo...
Matatizo yamenikuta niko nchi za watu kwenye ibada ya marehemu makaburini
Kwakua akili yangu haipo idle, nikawa nafanya observations mbili tatu. Kwanza, hawa watu wanaeshimu wafu wao, makaburi...
Kama umeishi kwenu au ulikuwa na kwenu penye familia yenu hadi ukaondoka kwenda kuanza maisha yako shukuru sana, watu wengi sana huwa mnachukulia poa kuwa na kwenu lakini ni utajiri mkubwa sana...
KAMA KIJANA MDOGO ANGEKUJA KUNIULIZA KUWA; NI MHUSIKA GÀNI KWÈÑYE BIBLIA AWE ROLE MODEL WAKE. MIMI NINGEMCHAGULIA MHUSIKA HUYU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Leo sitaki kugombana na Mtu...
Habari wanajamiiforum.
Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha
Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho...
Imekaaje hii?
Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni. Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
Hivi Hawa watoto wameamshwa...
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET)imetoa rai kwa wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma madarasa ya awali, msingi, sekondari ,vyuo pamoja na watu wenye mahitaji maalum kununua vitabu vya mitaala...
Hivi uzio wenye waya wa umeme unazuia kweli vibaka?
Kwenye video hapo chin ya CCTV iliyowanasa vibaka wakivunja fensi ya umeme kwa miguu.
Yani dawa yao hawa kenge ni rottweilers, Pitbull na...
Nahitaji mtu ambaye anaweza kunisaidia kupata cheti changu cha kuzaliwa harafu akanitumia haraka iwezekanavyo. Scammers usipoteze muda wako, malipo yatafanika face to face na mtu wangu ambaye yupo...
Sina historia ya kuwa kiongozi serikalini, sina historia ya kuwa mwanachama wa chama chochote na watakaoniweka madarakani ni nguvu ya wananchi
Sina umri wa miaka wa kikatiba wa kugombea Urais ila...
Ebana leo nimekumbuka mwaka 2022 nikiwa mgeni mkoa x. Nilienda mkoani humo ili kuanza kazi katika kampuni flani, nilipofika niliwakuta ma brothermen na maisha yao wapo gud so mbaya wanaishi nyumba...
Hana Mashamba au Mifugo ili ajikite zaidi huko? Anapata kweli hata muda wa Kucheza na Wajukuu zake ambao ni wengi kama Timu mbili za Mpira?
Na kwanini kila akiwa katika Matukio ambayo hualikwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.