Maisha bila mitandao ya kijamii inawezekana huu ni mwaka wa nne sasa no fb, no instar no twitter
Kilichobaki ni Jf tu
Muda upo wa kutosha kusoma vitabu, kufanya kazi, kutafakari na kukaa na...
Nipo South Africa siku ya tatu hii. Nlikuwa narudi toka China. Nikiwa kwenye ndege First Class nikaenda wash room ndo nikagundua nimetokwa na kipele(pimple) kwenye mkono.
Niliomba nishushwe South...
Umuofia kwenu, kwa takribani miezi minne sasa nilishuhudia mbegu mpya kabisa ya panya nyumbani kwangu.
Panya hao wana muonekano tofauti na hawa wetu na cha ajabu kabisa wanawawinda panya wale wa...
Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram .
Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
Wamefunga Facebook, Youtube na Twitter wameshafunga. Kitakachofuata ni...
aise mimi kumaliza kopo la lita 1.5 kwa siku huwa nafanya kwa kujilazimisha, kunywa lita 3 kwa siku labda niwe nimefanya mizunguko sana kwenye jua, tofauti na hivyo nikinywa lita 2 tu huwa nakojoa...
Chimbuko na Asili ya kabila la wa Chagga inaonyesha kua walitokea Afrika kaskazini upande wa Mashariki mwa Afrika yaani pande za Ethiopia/Uhabeshi, asili yao kuu waliitwa wa salsha hilo ni neno la...
Kwema ndugu, natumai kila mtu ni mzima wa afya.
Sinza na Kinondoni ni kata mbili tofauti zilizopo katika mkoa wetu mzuri wa Dar es salaam.
SINZA ambayo inatambulika kuwa kwa wajanja, ipo katika...
Mheshimiwa waziri inaumiza kwa kitendo hiki cha Uongozi wa shule hii kuwakomoa vijana hawa wa kidato cha sita wanaotarajia kuanza mitihani yao ya kitaifa mwezi May.
Kwa kifupi. Ni kwamba...
Nimenunua Simu hiyo hapo juu hata mieziv4 haijapita ila imeanza matatizo baada ya update iliyopita.
Nimejaribu mafundi wao hapo mlimani naona wamechemka.
Shida inazonipa ni hizi.
1. Unaweza...
Kifo hakieleweki; wengine tutakufa kabla ya uzee,
wengine tutazeeka kwanza kisha umauti utatufika
Nguvu tulizo nazo zitaisha, matumaini yatayeyuka, na hatutakuwa tena na nafasi ya kurekebisha...
Naona mkuu wetu wa nchi anatoa mamilioni ya fedha, mara knockout ya mama, mama goli la mama, mara achangie milioni kadhaa mfano juzi katoa kuchangia mili9ni 50 KKKT na si mara moja tunaona...
Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate.
Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation...
KISA CHA SIMBA WA ALLAH (SWT)
Wahshi bin Harb muuaji wa Simba wa Mwenyezi Mungu ambaye ni Hamza bin Abdulmtwalib (ra) ambaye ni ammi yake Mtume(saw) na ndugu wa Mtume(saw) kwa kunyonya. hebu...
Historia Fupi ya Wakristo na Druze wa Israeli
Israeli ina makundi tofauti ya kidini ikiwemo Wakristo na Druze ambao ni wachache ukilinganisha na Wayahudi na Waislamu.
Wakristo: Wakristo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.