Bila ya kujali utofauti wa dini na Imani ,Let's gathering our prayers huwenda machozi yetu ya mda mrefu yakafutwa.
Yamkini unasumbuliwa na :-
-Magongwa
-Unauguliwa
-Addiction Mbaya
-Unatafuta...
Asalam aleykum
Shalom shalom
Hili ni jukwaa huru, kama utakua mfatiliaji wa nyuzi mbalimbali katika majukwaa haya;
1. Hoja mchanganyiko
2. International forum
3. Jukwaa la siasa
Basi utabaini...
Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalumu tukutane hapa.
Autism (Usonji)
Visual impairment -kutokuona
Hearing impairment- kutosia
Ulemavu wa viongo n.k
Kuna kituo kizuri Sana kina na boarding...
Biashara ya Mtandaoni: Ushuhuda, Mafanikio, na Changamoto za Matapeli
Mimi ni mdau mkubwa wa biashara za mtandaoni, na jambo linalonivutia zaidi ni pale tunapoweza kuzungumza na kufanya biashara...
Habarinu wana jukwaa,
Huku nilipo Moshi Vijijini kuna shida ya maji mpaka kero. Idara inayohusika kuna tatizo gani watu tunakosa maji siku tatu?
Kipindi kama hiki cha masika hasa ukiangalia...
"Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011, jina litakuja: Chaelmi Majuu. Simu yangu ya kawaida inadaiwa."
Ukipokea meseji zenye ujumbe kama huo, usikasirike, usimtukane...
Aliyekuwa Mbunge wa Mlimba 2015-2020 kupitia Chadema, Susan Kiwanga ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) amechukua fomu kuomba ridhaa ya chama chake kipya kuwania...
Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee...
Katika maisha ya ibada, mahubiri na mafundisho ni nguzo kuu za kukuza imani na kuwaelekeza waumini jinsi wanavyopaswa kuishi au kuenenda. Hata hivyo, muziki wa kwaya hutoa ladha ya kipekee...
Habari Tanzania !
Naomba kuweka mawazo mseto kwa maendeleo ya nchi yetu. Naomba paanzishwe " Vijana Village Funds" huu uwe mfuko wa ukopeshwaji kwa vijana kwenda kuishi Vijijini na kuhakikisha...
1. Kama mnataka kutoa service wapeni wateja wenu taarifa. Pension/salary advance/nisogeze loan /jihudumie hakuna..is now ON/OFF. Kuweni na msimamo, consistency, kama haipo mwezi fulani waambie...
Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake ameshamchorea Ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!.
Kumbuka Jay Z katoka familia za kimasikini...
Watu wawili kati ya watatu walisema wamekutana mara kwa mara na maneno ya chuki, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ipsos kati ya Agosti 2022 na Septemba 2023. Utafiti huo ulihusisha jumla ya...
Habari wanajf
Kuna rafiki yangu ni mwajiliwa mahari flani , anamuda mwingi wa ziada baada ya kazi, anataka huo mda wa ziada ajifunze kozi nzuri online ambayo ipo sokoni Ili imsaidie kupata pesa...
DAR ES SALAAM: Yas Tanzania has stepped up as one of the key sponsors of Ndondo Cup 2025, signaling a new era where sports and technology intersect to drive positive social change.
This...
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said ametoa rai kwa watumishi wa umma kubadilisha mtazamo kuhusu maisha, akisisitiza kuwa kazi, elimu na ndoa ni...