Habarinu wana jukwaa,
Huku nilipo Moshi Vijijini kuna shida ya maji mpaka kero. Idara inayohusika kuna tatizo gani watu tunakosa maji siku tatu?
Kipindi kama hiki cha masika hasa ukiangalia tuko karibu na Mlima mrefu kuliko yote Afrika. Mimi nimeshiriki kwa kutoa taarifa, naomba viongozi na wahusika waliangalie hili.
Kazi iendelee.