Habari wanajukwaa,
Naitwa Godfrey Tarimo, mdau wa maendeleo na mfuatiliaji wa masuala ya kijamii na kiuchumi.
Kama wengi mnavyokumbuka, katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) mwaka...
Madalali wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Masaki na Oysterbay, Dar es Salaam, wameiomba Serikali iingilie kati kutokana na kuingiliwa kwa biashara yao na raia wa kigeni, hasa Wachina...
Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani.
Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.
Ukienda kwenye website ya HESLB na Wizara ya elimu hakuna list ingawa Mabumbe wanakwambia list iko. Mwenye nayo atuwekee hapa please
Download PDF Samia Scholarship Invited to apply students...
Hao wagombea kupitia vyama vya siasa ni mafisi bora katiba itambue mgombea binafsi ambaye atapitishwa na wananchi kwaajili ya wananchi na siyo kundi la watu wanaojiita chama cha siasa iwe chama...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama...
Mambo ni mengi ndugu zangu, tuanze na salam kwa wote. Kuna mambo kadhaa yanaboa sana kwenye maisha yetu ya kila siku tupeane mbinu au tuyaweke wazi tuyajue.
1. Unaenda sehemu ya huduma, unakuta...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 katika miji ya Wanging’ombe na Makambako mkoani Njombe kuonesha thamani ya fedha kwa kutekeleza mradi kwa wakati...
Kamati ya Makatibu Wakuu inayoongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, imekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa wa...
Awali ya yote.Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi hii.
Pili,nina imani nitaeleweka na maamlaka husika itatoa au kufanya maamuzi sahihi juu ya kero hii na swala hili.
Kero yangu leo hii...
Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa maeneo ambayo yamepata fedha nyingi kupitia mradi wa kuimarisha ubora wa Elimu ya sekondari nchini SEQUIP ambapo umepokea zaidi ya Bilioni 36.596
Fedha hizo ambazo...
Endeleeni tu Kupuuza Maandiko yetu hapa JamiiForums na Kuupuza huu Mtandao ila kama kuna Mtandao nyie mlioko Serikalini na huko sehemu Nyeti za Umedani (JWTZ) na Unjaguni (TISS) mnatakiwa muwe...
Zaidi ya shilingi bilioni 200 zinatumika kujenga kituo cha kupoozea umeme katika kijiji cha Nkangamo, mkoani Songwe…mradi unalenga kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kupungua kwa nguvu ya umeme...
Listen to me young generation
The cheapest commodity on earth is access to women. Stop wasting your time, energy, and money chasing what should come to you naturally.
That attention you're...
Kama Hawa ndio washikaji zako , Kama ndio Hawa ndo marafiki zako ,
Ikitokea umekwama una shida unahitaji either buku tano au kumi either ni urgently au sio urgently sasa katika marafiki zako wa...
Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini?
Karibu gardeners
Tecknolojia ya AI imekuja na mambo mengi na wengine wanajikuta kama wamepata rafiki vile, Leo baada ya uchovu wa kazi niliamua kupunzisha akili kwa kuangalia kitu/vitu vipya. Leta na za kwako za...
MKUU wa Mkoa wa Songwe, Jabir Omari Makame, ametoa onyo kali kwa vijana wanaojihusisha kimapenzi na watoto wa kike na wanafunzi wakike, akisisitiza kuwa wasichana hao ni "nyara za serikali" na...