Ilikuwa ni December 2004,,,ni miaka 20 iliyopita katika Mkoa wa Shinyanga _Tinde.
Miaka hiyo kulikuwa na fisi wa kutosha...nilikuwa nimekosa nauli ya kwenda krismas Moshi,,,,,hivyo nyakati za...
𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗨𝗝𝗔𝗔 𝗦𝗜𝗢 𝗝𝗨𝗞𝗪𝗔𝗔 𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔,𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗧𝗨𝗦𝗜𝗣𝗢𝗧𝗢𝗦𝗛𝗪𝗘!
Siku ya Mashujaa Tanzania ni siku muhimu ya kumbukumbu ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Julai kwa heshima ya mashujaa wa...
Kama una akili nyepesi unaweza usielewe yaani ni kama anamkandia na hataki kumsikia lakini ukienda ndani zaidi unagundua anamkingia kifua asiguswe kuna mipaka anataka akuwekee ili usiwe unahoji...
Kampuni ya usambazaji wa mafuta ya GBP, iliyopo jijini Tanga, imeungana na vyombo vingine vya usalama, likiwemo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, katika juhudi za kukabiliana na moto mkubwa uliolipuka...
Kwa yeyote anayeishi au kutembelea maeneo ya Zanzibar, atakuwa ameshuhudia jinsi ujenzi wa nyumba unavyoendelea kwa kasi maeneo mbalimbali. Lakini cha kusikitisha ni kwamba ujenzi huu kwa sehemu...
Hoja Yangu kwa Wanajukwaa na Wasimamizi wa JamiiForums:
Wana JF wenzangu,
Nchi yetu imebarikiwa kwa natural wonders ambazo dunia nzima inazitamani – kutoka kilele cha mlima mrefu barani Afrika...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Mlele, Alhaj Majid Mwanga, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani humo kuhakikisha askari sita wa jeshi la...
Moja kwa moja kwenye mada.
Zilipotoka ajira za walimu wapya, tayari serikali ilishapiga hesabu na kutoa fungu ambalo lilipelekwa moja kwa moja eneo husika wilaya au mkoa.
Baadaye vijana wetu...
Ni wakati muafaka kwa admins wa JamiiForums na distributors wake kuangalia mbele kwa jicho la kimaono (visionary approach) na kukubali kuwekeza – kifedha na kiuwezo – katika mradi wa kipekee na wa...
Hawa watu watano ni kwa Mujibu wa Akili mnemba.
Manabii watano wakubwa na maarufu Tanzania walio hai hadi sasa
Nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi barani Afrika, kuna...
Canal+ yenye makao makuu nchini ufaransa mwanzoni mwa mwaka huu ilituma maombi ya kununua hisa zilizabaki za Multichoice (DSTV na ShowMax) kwa Dollar billion 1.9 na kuwa mmiliki kamili wa kampuni...
Huu Usafiri wa Mwendo kasi ndo wakijinga namna hii.
Nipo kituoni Fery Toka saa 8 mpaka sasa hivi imekuja gari Moja Tu.
Kumbe huu Usafiri hauna uwakika Hata kidogo.
Nimejuta kukata tiketi mara...
Kuna nini. Maana Jahazi nasikia sauti za watangazaji mpya.
Nikienda Wasafi nako watangazaji maarufu siwasikii tena!!
Nini kinaendelea maana maredio haya makubwa watangazaji maarufu siwasikii...
Tukio la kushangaza limeripotiwa mjini Mekelle, makao makuu ya Jimbo la Tigray, Ethiopia, ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 76, Woizero Medhin, amejifungua mtoto wa kiume. Tukio hilo limetajwa...
Haijalishi unampenda vipi Hayati JPM, lakini ameacha shida kubwa iliyoanza katika utawala wake. Tatizo shida ya sisi Watanzania huwa tunafurahi na hatujali pale sheria, katiba ikivunjwa na mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.