Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ee Mungu nisamehe kwa sababu kila ninavyosoma Biblia ndo ninakutana na maandishi yenye ukakasi yenye kutia hasira mno. Kwenye KUTOKA 21 tunaona kulikuwa na adhabu ya kifo kwa mtu atakayemuua mtu...
0 Reactions
3 Replies
279 Views
Huko Kijiji cha Milonji Kata ya Lusewa mwanamke aliyejulikana Kwa Jina la Wende Luchagula mwenye umri wa miaka 30 Kabila msukuma, amewachinja watoto watatu wa mke mwenzake wawili ni pacha wa...
2 Reactions
10 Replies
613 Views
Kuwekewa walinzi wengi mpaka wengine na mabunduki kwenye kesi ya mchongo kutoka juu ni wazi kuwa kama angekuwa mtu wa tamaa ya pesa na maisha mazuri basi angekubari. Wanachofanya kumuwekea ulinzi...
5 Reactions
10 Replies
683 Views
Ulaya walikuwa na viwanda vingi kumbuka industrialisation ilianzia Europe vilikufa baada ya kuingiza huruma za kibinadamu Kuhisi wenye-viwanda wanafaidi sana na kuanza kuwapandisha kodi maradufu...
3 Reactions
44 Replies
1K Views
“Tulikuwa tunaishi kana kwamba jua halitaacha kuchomoza… mpaka lilipoacha.” Utangulizi: Mwakitosi hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa na hulka ya kupenda mambo ya anga, si kwa upuuzi wa mitandao ya...
1 Reactions
0 Replies
188 Views
Ripoti kutoka Google inaonyesha Kila mwaka Apple anachukua zaidi ya Dola bilioni $50 ili Google search ibakie kwenye browser ya safari kama default search Engine kwenye simu za iphone. Huu ni...
1 Reactions
2 Replies
271 Views
DAARUL MAARIFA DAY 2025 Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya...
1 Reactions
1 Replies
464 Views
Wakuu, Hii video imenikumbusha mbali sana enzi za kidumu na mfagio pembeni nimebeba jembe naenda shuleni, wakati wa kupanga mstarini tukianza kuimba utasikia sauti za juu sana tukiimba Mungu...
0 Reactions
3 Replies
346 Views
Katika kipindi cha sasa, dini imeanza kuchukua sura mpya katika jamii ambayo inazua maswali mengi kuhusu uhalisia wake. Kwa baadhi ya watu, dini imepoteza dhima yake ya msingi ya kuwa chombo cha...
1 Reactions
3 Replies
354 Views
Isa 21:8 SUV [8] Ndipo akalia kama simba, Ee Bwana, mimi nasimama daima juu ya mnara wakati wa mchana, na kila usiku ninakaa katika zamu ya ulinzi wangu. Maneno haya yametoka kwa mlinzi ambaye...
1 Reactions
1 Replies
195 Views
Licha ya kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na mashujaa waliolitumikia Taifa kwa uadilifu na uzalendo wa hali ya juu, kaburi la Balozi na Luteni Jenerali mstaafu Silas Peter Mayunga limeonekana kuwa...
0 Reactions
9 Replies
805 Views
Amebobea kwenye eneo gani hasa? Karibuni
0 Reactions
4 Replies
310 Views
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) katika kutekeleza majukumu yake ya kuhamasisha Umma matumizi ya chapa ya bidhaa na huduma zinazozalishwa Tanzania, "Made in Tanzania" imeandaa...
2 Reactions
3 Replies
325 Views
Nimesikitika sana leo nimeona nije ku share kidogo JF, Wazazi nimewakatia Bima NHIF Standard, shida kila wakienda kutibiwa naambiwa wamekosa dawa wakanunue dawa Pharmacy za nje, nawatumia hela...
0 Reactions
3 Replies
317 Views
Kwa Mwaka wa tatu sasa mtawalia sisi wakazi wa Makongo na Makongo Juu hadi Goba, barabara inayoenda hadi mzunguko wa GOBA CENTRE tumelalamika sana kwenu kwa barabara yetu kukosa daladala. Ahadi...
2 Reactions
4 Replies
809 Views
Katibu wa CCM, Amos Makala ametangaza leo kuwa CCM wanatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa na utatanguliwa na vikao vya Kamti Kuu Halmashauri Kuu Taifa kupitia njia ya Mtandao. Pia...
0 Reactions
5 Replies
407 Views
hivi unajua nchi za afrika zinatengeneza simu ? yani tunazungumzia simu za smartphone!! Naam Kuna nchi nyingi TU zilizopo kwenye bara la Africa zinatengeneza na kusambaza simu za smartphone...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Madereva na Makondakta wa mabasi kuweni makini mkikuta foleni ya Magari mida ya usiku maeneo ya MKAMBARANI MOROGORO. Kuna vijana Wezi wanafungua mabuti ya mabasi na kuiba mizigo ya Abiria...
5 Reactions
17 Replies
867 Views
Baada ya Member wa JamiiForums.com kutoa andiko Julai 16, 2025 akielezea changamoto za uchafu iliyopo kwenye Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda hasa upande wa Vyoo vya Wanaume ambavyo...
0 Reactions
1 Replies
543 Views
Kuna watu wanajua X na Y zipo kwenye elimu tu kumbe tunazo kwenye maisha tunazitumia kila siku mfano kujua upana wa chochote kwa nini unatumia kujua urefu na upana. Ushawahi kuulizwa graph yako...
2 Reactions
9 Replies
348 Views
Back
Top Bottom