Unakuta mtu anakuja akiwa mnyonge "brother una chaji type c simu yangu imezima naomba nibusti hata asilimia 5" kiroho safi mtu unampa chaji ili achaji kakimeo chake karudi kwenye uhai.
Sasa huyu...
Mtu mweusi aliposhika madaraka marekani kulikuwa na kiwango cha uchawa kila kona kwa watu weusi mpaka kwao.
Nakumbuka ilifikia kule marekani uchawa ulifikia mpaka kwa wasanii kuanza kumuimba na...
Serikali imeitaka Kamati ya Kusimamia Uteuzi na Nidhamu ya Madalali wa Mabaraza kuhakikisha madalali wanazingatia kanuni katika kufanya utekelezaji amri zinazotolewa na Mabaraza ya Ardhi na Nyumba...
Katika miaka ya karibuni, halmashauri nyingi nchini Tanzania zimeanza kuanzisha shule za serikali zinazotumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia kuanzia darasa la kwanza maarufu kama “English...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (East African Commercial...
Madaktari bingwa wa usingizi tiba nchini Tanzania wamepata mafunzo maalum kutoka kwa madaktari bingwa kutoka India, kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma za usingizi tiba katika taasisi...
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Wende Luchagula (30) mkazi wa kijiji cha Milonji kata ya Lusewa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, anadaiwa amewaua watoto watatu wa mke mwenzie kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar Chalamila hivi unajua au umeridhia maroli ya mizigo na mafuta kupita njia ya keko? hujui kuwa haya ndio yanasababisha foleni Dar city center kote kwa kuwa yanapita njia isiyo...
Wanajamvi, nimeona niweke hapa sifa zinazotakiwa ili mtu aweze kusajiriwa kama mwandishi wa habari kwa mujibu wa Section 19 ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, 2016 na Kanuni zake za mwaka...
Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha...
Huyu dokta wa ajabu naye ithibati inabidi kumchukulia panga.
Kama ni CCM basi mtakuwa kisiasa sasa.
Mada za ajabu anazoleta sijui ukipiga msamba asubuhi na kipande cha ndizi mbivu kitambi kinatoka.
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu mara kadhaa napita chimbo kupata huduma sasa nakutana na hawa mabinti kutoka mkoani Kagera sio mmoja wala wawili ni wengi they don't give shit wanapenda...
Ni huzuni na kero kwa hili linaloendelea mjini Morogoro, Fieldforce wamejikita kukamata bajaji, Pia Tarura na sector zingine za kiutawala zote zimetolea macho waendesha babaji kwa kamatakamata na...
Wakuu kwema? kuna jamaa nilimpa pikipiki awe analeta hesabu kwa wiki ila siyo mkataba,pikipiki ilikuwa mpya ameendesha kama miezi 6 akadai eti imepotea maana akimpa ndugu yake,yule ndugu yake nae...
“Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye akisitasita, sina furaha naye.”
Waebrania 10:28
👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿
Hiyo ni KANUNI. Ikifuatwa hata na mtu asiyemuamini Mungu anaona matokeo.
Mungu na...
Nilifika dubai kuingia super market kuna friji zimepangana za vinywaji baridi yani kukuta mpaka coca cola inayofanana na maji ya kunywa hipo.
Sasa hawa wa kwetu nikafikiria yani friji...
Kama unafuga kwa kitowewo sawa ila kama unafuga kwa biashara na kupa pole sana.
Ni ngumu sana kupata wateja ukilinganisha mbuzi,kuku,ng’ombe na samaki.
Embu tujuzane kwa nini
Baada ya malalamiko yaliyoibuliwa na Mwananchi kupitia JamiiForums.com kuhusu Mwanamke Mkazi wa Kijiji cha Izumba Mkoani Tabora, kudai kuombwa fedha na Askari wa Kituo cha Polisi Kigwa kwa...
Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya mkutano mkuu wake wa Taifa kwa njia kidijitali (mtandao)
Utafiti unaonesha kuwa ni chama cha kwanza Afrika kufanya Mkutano mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.