Wakuu, hivi ushawahi kufika sehemu ukamkuta kichaa anampigisha story mwenye akili timamu? Yaan kichaa kavaa smart kabisa kitanashati mwingine unakuta kapendeza mavazi ya urembo ila sio mzima ni...
Uzinzi siyo tu dhambi ya mwili, bali ni silaha kali ya adui inayotumika kuvunja, kuiba, na kuharibu kibali ambacho mtu amepokea kutoka kwa Mungu. Katika ulimwengu wa roho, kuna vitu ambavyo si...
Yaani Jiji la Mbeya kuna mambo ambayo siyo mazuri na tukikaa kimya yataendelea, mojawapo ni hili suala ninaloenda kulizungumza leo.
Hivi LATRA Mbeya mmeshindwa kabisa kutatua hii kero ya Daladala...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kinaketi mjini Dodoma kwa ajili ya kuchuja majina ya wanachama wake walioomba kukiwakilisha chama hicho katika nafasi za ubunge na uwakilishi, kwenye uchaguzi mkuu wa...
Ndugu wanajamii,
Naomba nitoe kilio cha wazi kabisa kuhusu hali ya barabara ya kutoka Mbauda (Arusha) hadi Kongwa (Dodoma) kupitia Komolo – Terrat – Naberera – Orkesumet – Kiteto. (Jina rasmi...
Wadau,
Nilifanya muamala Jtatu kwa NMB mkononi, wakakata hela zao za huduma kisha mimi wakaniandikia Transaction inprogress.
Niliwapigia simu mara kadhaa, niliwaandikia email lakini hakuna...
Huu ni upumbavu na kudhalilisha jina la Yesu. Yesu ni mmoja na jina lake likitajwa mara MOJA linatosha. Upuuzi huu mnaoufanya redioni ni kumdhalilisha Yesu. Kwa jina la Yesu....bla bla bla ×100...
Amani iwenanyi ndugu wapendwa siku ya leo nimependelea kushiriki nanyi jambo hili ili kuondosha baadhi ya makosa
ilitujuwe usahihi wa jambo kwa uhakika na sifungi mlango wa majadiliano.
Kwanza...
Leo naomba nije na hili battle katika ya Zanzibar na Tanganyika ama kama mnavoojita Tanzania ya sasa.
Hapa tunajadili maendele, hali ya siasa, kiuchumi kiutamaduni, maadili, michezo, viongozi bora...
Jaamaa kanikodi picha linanaza jamaa ametoa laki sita, Haya
Pale kivukoni polisi wote wanampa ushirikiano mpaka naogopa..
Hii ni Nini jamani au mafuta ya watu
Kuwekwe kiwango fulani cha tozo kwa Gari binafsi kwa wale wanaotaka kutumia miundo mbinu hiyo ili kukwepa kero sugu ya foleni ya jijini Dar.
Mathalani waweza kuchaji Gari dogo shilingi elfu...
Wanabodi: Nimefurahishwa na Tangazo la wataalam wa chuo chetu kikuu cha Dar Es salaam kutangaza dawa mpya ya Corona inayoitwa Fukiza. dawa hiyo kwa mils 10 inauzwa sh 6,000 tu. kuhusu matumizi na...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, ametoa ufafanuzi kuhusu hatua ya kufutwa kwa baadhi ya kozi za ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ambayo imeibua taharuki...
Je yupo mtu anaweza kuwatukana wazazi wake....!?
Mama zake wadogo...!? Mama zake wakubwa...!? Baba zake wadogo na wakubwa...!? Mashangazi na wajomba...!?
Kwa utamaduni wetu wa kitanzania,Hawa...
Katika karne hii ya 21, vita vya kiuchumi havipigwi tena kwa silaha wala bunduki, bali kwa mitaji, hisa, na ushawishi wa kifedha. Katika anga hiyo, kuna mapacha mawili waliojitokeza kwa nguvu ya...
Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari.
Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn...
Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando.
Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama
1. ursa net vpn
2. biddinet vpn
3. ommanova...
Sa mmoja akifa hapo wanasolve vipi?
Hawana familia zinawategemea hawa?
Wenzao wanapigana juu ya board Ina string mazingira yamejaladiwa na masponge wao wanapigana juu ya mbao.
Na wanapigana huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.