Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari. Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn...
6 Reactions
92 Replies
3K Views
Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando. Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama 1. ursa net vpn 2. biddinet vpn 3. ommanova...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Sa mmoja akifa hapo wanasolve vipi? Hawana familia zinawategemea hawa? Wenzao wanapigana juu ya board Ina string mazingira yamejaladiwa na masponge wao wanapigana juu ya mbao. Na wanapigana huku...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Wapendwa naulizia kratom leaves / majani ya kratom kwa hapa Tanzania bara nayapata wapi?
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Leo hii brand ya Tequila ya Jose Cuervo ndiyo inayoongoza kwa mauzo duniani. Kitabu hiking cha 2025 kinaelezea struggle alizopitia muazilishi wake, siasa za Mexico, figisu za uchaguzi, vita na...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Hivi inakuwaje mwanaume Unamtaka mdada wa watu Halafu huna hata nia nzuri kwake yeyote? Na ukizingatia unajua kbs una nia nae why umpotezee muda wake kwanini usimwache aendelee na maisha...
-1 Reactions
5 Replies
588 Views
Badala ya kukimbia barabarani ,washiri kwa kujiunga kwa kutumia linki ya mtandao huku wakifanya mazoezi haya ya kukimbia marathoni katika maeneo maalumu na mahususi kwa ajili ya michezo na...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Wakuu habari zenu. Hii ni saa nane kama kasoro dakika 10 usiku, Nimehstuka usingizini,Nimeshtuswa na makelele ya NGOMA .yaani ni kama kakikundi cha watu. wanapita na wanaongea na wanapiga hiyo...
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Sakata la Bodi ya Ithibati limezua janga na wengi wa watangazaji wamekwama kuendelea na shughuli za utangazaji kwani tasnia hiyo yahitaji uwe na cheti cha ngazi ya Diploma. Lakini nina ushauri...
0 Reactions
1 Replies
454 Views
Malezi: jinsi ya kumfundisha mtoto wako kwa kutumia Kanuni ya Mwangwi wa Sauti. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Tunapoenda kuanza wiki nyingine. Nikaona Embu tujadili kuhusu Malezi ya watoto...
4 Reactions
2 Replies
451 Views
Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College - NDC) kimehitimisha rasmi mafunzo ya muda wa wiki 47 (kuanzia Septemba 2024 hadi Julai 2025), kwa viongozi waandamizi wa Jeshi, vyombo vya...
0 Reactions
4 Replies
696 Views
Wanafunzi 6 wa shule ya Sekondari Chalangwa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, waliokuwa wakifanya mazoezi barabara kuu ya Chunya-Mbeya , wamefariki dunia kwa kugongwa na basi...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Mamia ya wakazi wa Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, wamejitokeza katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Chalangwa, kuaga miili sita ya wanafunzi waliokuwa wanasoma shule hiyo, waliopoteza maisha...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Iran imefanikiwa kuongeza kwa kiasi kikubwa mapato yake ya mauzo ya mafuta mwaka uliopita. Hayo ni kwa mujibu wa takwimu mpya kutoka Shirika la Nchi Wazalishaji wa Mafuta Duniani (OPEC)...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Sijui gonjwa Gani hili limembutua kwa starehe ya siku moja
17 Reactions
72 Replies
3K Views
Wanandoa nchini Filipino wamewashangaza watu wengi ulimwenguni baada ya kuendesha shughuli za harusi yao katika kanisa ambalo limejaa maji kutokana na dhoruba na mafuriko. Bwana Newlyweds Jade...
3 Reactions
8 Replies
438 Views
Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu...
1 Reactions
9 Replies
493 Views
Miaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje). Ni...
13 Reactions
64 Replies
3K Views
💨 Whatsapp wako kwenye hatua ya mwisho kuweza kutambulisha feature mpya inaitwa "Logout" ambayo itaweza kuwapa Watumiaji wa Whatsapp uwezo wa ku logout kwenye akaunti zao bila kupoteza akaunti...
1 Reactions
8 Replies
440 Views
Back
Top Bottom