Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau...
29 Reactions
77 Replies
4K Views
Ndege ya Thrush Rockwell S2R (sasa Thrush S2R) inatengenezwa na Thrush Aircraft huko Albany, Georgia, USA. Bei ya kiwandani kwa modeli mpya kama Thrush 510P2+ (2025) inahitaji kuwasiliana na...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Huyu roboti anaitwa Herbie atakua live 😁😁 performance kwa kutoa show ya nguvu siku ya kuachiwa kwa movie ya fantastic four Unasemaje anaweza au lah 😉 Credit: marvel studios
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Je Mungu anaangalia mwili na kuihitaji?.. jibu ni Ndio!.. maandiko yanathibitisha hilo wazi kabisa.. 1Wakorintho 6:13 “Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Baada ya Miaka 16 kupita Toka itoke movie ya Friday 13TH hatimaye Jason anarudi Tena bhana mwaka huu 2025 👋 lakini arudi pekee yake inakuja na game yake aiseeh. Habari hiyo iliweza kufichuliwa...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Tunduma ni border kubwa kwa Tanzania hili halina ubishi ila changamoto kubwa ya Tunduma iko-disorganized sana ni chaos hii hali haitakiwi kuendelea hata kidogo Yafuatayo ni maboresho ya Tunduma...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
Habarini za jioni hii, Wakati majina yakitangazwa "mubashara" kulikuwa Kama na maelekezo ya Moja kwa Moja kwa wajumbe kumpitisha "mlengwa" katika kiti husika. Rejea "waliopitishwa Jimbo fulani...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Umekaa na mshikaji au jamaa bar au sehemu nyingine stori zake ni kuongelea maendeleo ya watu wengine. utasikia fulani ana gari zuri, sijui Nyumba tatu , mgodi, mshahara mkubwa, mke mzuri ...
1 Reactions
9 Replies
353 Views
JE NI SAHIHI KUMTAFUTA MZAZI ALIYEKUTELEKEZA? NA JE NI LAZIMA KUMTAFUTA? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Swali hili nimekuwa nikiulizwa mara Kwa mara, mabinti na vijana wamekuwa katika...
1 Reactions
50 Replies
2K Views
Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo; DStv Poa - 11,000/= DStv Bomba - 27,000/= DStv Family - 39,000/= DStv Compact - 67,000/= DStv Compact Plus -...
19 Reactions
55 Replies
13K Views
Katika siku za hivi karibuni Kumekuwa na mikesha mbali mbali kwa waumini wa Kanisa Katoliki jimbo la Moshi ikisemwa kuwa ni maombi maalum ya kukesha usiku kucha, lakini ukichinguza kwa makini...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Utasifika kwa UCHAPAKAZI, Utaheshimika kwa MAFANIKIO, Utasujudiwa kwa UTAJIRI, Utaenziwa kwa UTU.
1 Reactions
2 Replies
210 Views
Kwa binadamu mwenye afya hasa kijana ni lazima apate matamanio ya kimwili, kwa kiingereza huitwa Libido, kwa kiswahili kuna majina kama Nyege, Upwiru, Midadi. Njia sahihi ni kuutoa kupitia tendo...
0 Reactions
8 Replies
431 Views
Mkurugenzi wa Huduma za upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt Rachel Mhavile amesema Mnamo Septemba 24, 2024 serikali ilifanikiwa Kwa Mara ya Kwanza kuanzisha Kituo Cha upandikizaji wa...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Wabunge wa Viti Maalum 13 kutoka 'Kundi la Wabunge 19' waliofukuzwa CHADEMA mwaka 2020 ambao walitangaza kujitosa CCM na kuomba nafasi za kuteuliwa ubunge na ubunge wa viti maalum katika uchaguzi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
NYONGEZA YA MAJINA YA WATIA NIA WALIOTEULIWA Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa katika taarifa hii, waliteuliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, iliyoketi...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Ndugu wanajamii, Naitwa Sese, Naandika ujumbe huu nikiwa na maumivu ya moyo na sintofahamu kubwa juu ya hatima ya mtoto mdogo ninayemshughulikia kwa ajili ya mkopo wa elimu ya juu. Katika hatua...
2 Reactions
4 Replies
653 Views
Kamati ya Mdundo wa Kitaifa iliyoundwa hivi karibuni na Waziri Tamaduni Sanaa na Michezo Mohamedi Mchengrwa imepokea maoni Kutoka kwa Wadau mbalimbali wa muziki ikiwemo watayarishaji wa muziki...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom