Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game...
0 Reactions
2 Replies
455 Views
Wataalam, natanguliza shukrani. Leo ilikua muda wa kufanya service gari yangu ( SUV) ambalo ni gari la engine ya Petrol, sasa nikafika garage na hapo hapo wanauza oil, mekanika nikamwambia na kwa...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
MWAKA Fulani nilipo KUWA musoma masomoni. Nilikutana na JAMAA MmOJA HAPO shuleni tukisoma WOTE JAPO kombi ziklikua tofauti, ILA bweni tulipangiwa MOJA, Hatukua marafiki SANA ILA tulipenda kupiga...
4 Reactions
11 Replies
924 Views
Nisaidieni jamani, Hivi WASUKUMA ni WAKENYA/WAGANDA au WARUNDI/WANYARWANDA, am always confused here, Najua jibu ni kati ya hayo mawili, lakini ni lipiii ?
3 Reactions
11 Replies
562 Views
Baada ya simu yangu ya tecno kuharibika sikuona haja ya kupoteza hela kuipeleka kwa fundi kwa sababu nilikuwa nimeitumia kwa miaka mitatu hivyo nikaona ni bora tu nikatafute simu nyingine mpya ya...
49 Reactions
222 Replies
15K Views
OSHA ni Wakala wa Serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu , Idara ya Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu. Wajibu wake ni kuwalinda wafanyakazi dhidi ya vihatarishi vilivyopo au vinavyojitokeza...
2 Reactions
2 Replies
471 Views
Saa chache tangu Mwanachama wa JamiiForums.com alipolalamikia juu ya mchakato wa ubomoaji wa jengo la zamani la DDC Kariakoo, akidai unafanyika kiholela bila kuzingantia hatua za kiusalama, hatua...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hadi wengine mnaweza kudhani mlikanyaga chura au mlirukwa mkiwa wachanga na watu wenye mikosi 😂 Ni zaidi ya kismati waweza dhani kuna mitishamba Mtu yupo kawaida tu lakini hata azingue kazini...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Ndio, Shinchonji (Shincheonji Church of Jesus, the Temple of the Tabernacle of the Testimony) ni kundi la kidini lililoanzishwa Korea Kusini mnamo 1984 na Lee Man-hee, ambaye wafuasi wake...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari nchini, imesema ili kukabiliana na kasi ya matumizi ya akili unde nchini, imekamilisha mkakati wa matumizi ya akili unde ikiwa ni katika kuelekea kuwa...
0 Reactions
3 Replies
433 Views
Kama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana. Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande...
18 Reactions
151 Replies
26K Views
Tanzania imesesema ipo tayari kwa ajili ya Kuwezesha Wananchi kunufaika na fursa za akili unde ikiwemo kuwa na mifumo ,pamoja na miundombinu itakayo linda faragha na usalama wa taarifa binafsi...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
https://www.instagram.com/p/DMo8uBhoLzn/?igsh=cjQ2NjExYmFrMW9z
3 Reactions
71 Replies
3K Views
Habar wakuu tupeane fursa ya kujenga vituo vya mafuta katika miji inayokua kwa Kasi sana yenye vijiji vya pembezo,pia miji yenye vyombo vya moto vingi hasa pikipiki,guta na magari madogo...
2 Reactions
0 Replies
253 Views
Makala hii imeandikwa na mtaalamu wa saikolojia ya mahusiano na mafanikio ya kiume. --- 🔥 Ukweli Unaoumiza: Wanaume Wema Wanapitia Maumivu Kimya Kimya Ni maswali ya kweli ambayo kila mwanaume...
8 Reactions
44 Replies
2K Views
Bunge la Marekani hii leo limekamilisha mchakato wa kulivunja shirika la misaida la nchi yake liitwalo USAID. USAID likikuwa likitoa misaasa nchi mbalimbali za Afrika ikiwepo Tanzania katika...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
⚽ Moja kati ya Game nzuri ya kucheza kwa mwaka huu 2025 basi Hii Game inaitwa Efootball ni game nzuri ya mpira ambao watu wanacheza kupitia simu zao na kufurahia burudani. 🎮 Game hii ni...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna watu wanaohoji uhalali wa tafsiri ya Biblia ya King James Version (KJV). Wengine wanasema ni ya zamani, haieleweki kwa kizazi cha sasa, au kwamba kuna tafsiri mpya zilizo sahihi zaidi. Lakini...
1 Reactions
5 Replies
461 Views
Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa: French, German, Arabic, Chinese, Hindi, Swedish and English. Clip haizidi MB 3
6 Reactions
87 Replies
3K Views
Back
Top Bottom