Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengwa zaidi ya sh Trillion 1 kwa ajili ya maboresho makubwa sana ya soko la kariakoo ili kuondoa changamoto zilizopo mfano;-
Frem zitakuwa na standard ambayo ni...
Nimeishi miaka flan pwani na waswahili , kuna tabia ambazo nilikuwa naona za ajabu sana toka kwao lakini wao hawakuwahi kuona shida . Mfano unamkuta baba wa familia kaamka asubuhi kavaa msuli kaja...
Takriban mwaka miaka 3 tangu Serikali JMT kutangaza kuchukua umiliki wa hospitali ya Dar Group kupitia Waziri wa afya wa wakati huo Ummy Mwalimu siku ya makabidhiano na kuiweka chini ya umiliki wa...
Wakati wewe unachangaa na Mwijaku kukosa ubunge, pembeni kuna familia za viongozi wameamua familia nzima ziingie bungeni. Miongoni hapo chini ni wanafamilia wa familia za viongozi wanaowania...
Wakuu
Hii mitambo ya kutengeneza barabara inanunuliwa sana kipindi hiki kuelekea uchaguzi, siku zote wanakuwa wapi? au ndo kura zinatafutwa kwa kuhadaa wananchi. Alafu mtambo huo huo baada ya...
Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dk. Garald Mongela, amewaongoza maelfu ya wananchi wa wilaya hiyo kushiriki uzinduzi wa miradi ya kimkakati iliyozinduliwa na Mwenge wa Uhuru.
Katika mwaka huu Mwenge wa...
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, inatarajiwa kuupokea Mwenge wa Uhuru kimkoa Agosti 3, 2025 ukitokea mkoani Tabora, na kuanza kukimbizwa siku hiyo katika Halmashauri ya Manispaa...
Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma.
Pamoja na dhamira...
Ethan Zuckerman, mvumbuzi wa matangazo yanayoibuka (pop-up ads), hivi karibuni alieleza majuto yake kwa kubuni kipengele hiki kinachochukiwa sana tangu mwishoni mwa miaka ya 1990.
Lengo lake...
Ikiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kutembelea utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, Kamati ya Ukaguzi ya TARURA imetembelea Miradi minne ya ujenzi wa miundombinu ya...
Just like the famous Swahili saying that goes "Hayawai hayawahi sasa yamekuwa" which means "Whatever we are waiting for has finally happened"
After days of anticipation, postponements, and...
Kampuni ya MultiChoice ambayo ni mmiliki wa DStv na GOtv wamekubaliwa kuuzwa kwa Canal+ kampuni ya Ufaransa kwa kiasi dola bilioni 3.1 (Tsh. Trilioni 5).
MultiChoice ina wateja milioni 19.3 na...
Hamjambo!
Unaweza kufeli kama Mwanaume, kukosa pesa, kushindwa kuyaweka maisha yako kuwa mazuri. Lakini kamwe usikubali kushindwa kuwa Baba Bora.
Kumpa mtoto wako, damu yako upendo hakuhitaji...
Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na...
Zaidi ya shilingi trilioni moja imetolewa na Serikali kutekeleza mradi wa reli ya kisasa SGR LOT NO 6 ya kutoka Tabora kwenda mkoani Kigoma mpaka Msongati nchini Burundi mradi ambao kwa sasa uko...
Ndugu wanajamii, binadamu, jamii na mataifa yote kwa ujumla, naomba kwa dhati ya moyo mkunjufu mnisaidie majibu.
Je, matendo yangu maovu yanaweza kugeuka kuwa sehemu ya uzao wangu na ukawa intra...
Hawa ndiyo Wabunge waliopitishwa bila kupingwa kuwania kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa hawakuwa na wapinzani wowote kutoka ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.