Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika kinyanganyiro cha kuwania ubunge baadhi ya watu mashuhuri na maarufu wametolewa kwenye mchujo wa ubunge mwaka 2025 kwa tiketi ya chama cha CCM huku wengine ambao wamekuwa wakihudumu kama...
4 Reactions
10 Replies
964 Views
1. Arusha. 2. Bumbuli. 3. Piramiho. 4. Kibamba. 5. Kisesa. 6. Kigoma mjini. 7. Simanjiro. 8. Iringa mjini. 9. Bunda. Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Ukiwa kwenye msoto mkali toweka kwa miaka miwili na fanya yafuatayo 1. Miliki kompyuta mpakato. 2. Jifunze ujuzi - copywriting, content creation, programming na video editing. Kuwa bora...
4 Reactions
15 Replies
746 Views
Wanajumuia . Salamu kwenuu Leo nimetafakari sanaa. Lkn mwisho wa siku nikagundua UCHAGUZI WA MWAKA HUU HAUNA MVUTOO KABISAAA . NAONA TUME INAFANYA TUU ILIKUFATA UTARATIBU NA MAELEKEZOO. HUKO...
2 Reactions
4 Replies
345 Views
Natumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina Unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Kwa sasa TBC 1 wana kipindi chao kinaitwa bango ambacho hutumika kuonyesha picha za marehemu kwa chagizo la onyesha upendo wako kwa kuutangazia ulimwengu picha ya marehemu aliyefariki mwaka 1950...
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Aliyepitishwa si yule atakayechaguliwa Atakayechaguliwa si yule atakayeshinda Atakayeshinda si yule atakayetawala.
1 Reactions
10 Replies
416 Views
Kuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila...
2 Reactions
12 Replies
476 Views
We are going to lose the rights of mountaineers and the entire tourism industry in general. We are the Mountain Workers Advocacy Union (MWAU) — a powerful collective voice for porters, guides...
1 Reactions
15 Replies
832 Views
Maskini pombe, haina mdomo wakumsema mtu vibaya, haina miguu kusema itamfata mtu nyumbani kwake, yenyewe imejitulizia ndani ya kifungashio chake kimya.... lkn kutwa kuchwa ipo midomoni mwa watu...
7 Reactions
8 Replies
524 Views
Kwa mujibu wa BOT Asilimia kubwa ya wanaokopa mikopo binafsi bila shaka ni Watumishi wa Umma. Na hapa huwezi walaumu Kwa sababu hawana mda wa kusimamia shughuli za Uzalishaji Mali ilhali mda...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Naomba wale ambao wanauzoefu au wana taarifa juu ya utendaji kazi wa hawa watu ambao hufanya mauaji kwa kulipwa kama wana taarifa watujuze hapa.
2 Reactions
16 Replies
715 Views
Mimi ni mgeni mji huu japo na nakaribia kufunga mwaka 1 hapa Tanga ni mwenyeji wa Mbeya , kutokana na changamoto nilizo zipata wakati nipo Mbeya ilinilazimu kuondoka bila kupenda kuja huku, Kuna...
0 Reactions
17 Replies
759 Views
Wakuu habari za jioni, Mimi Ni mjasiriamali, Nina kibanda kidogo (kiosk), nimekuwa interested na biashara ya ukodishaji wa taa za WASSHA au hata kununua kabisa Kama wanauza, Ila nimeshindwa kupata...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wimbi la kujiua likiwa limepamba kasi na sababu nyingi zikiwa mahusiano ila kuna hii pia ya kujilinganisha nayo ni sababu kubwa katika kumaliza ndoto za vijana mpaka kupatwa na magonjwa ya moyo...
4 Reactions
0 Replies
344 Views
Kwa muda mrefu, wapagazi, waongozaji na wapishi wa Mlima Kilimanjaro wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira hatarishi, bila mikataba, bila bima ya afya, na wakikosa kinga ya kisheria – hali...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Mmesahau Yohana Mbatizaji aliwekwa jela kwa kusema ukweli kisha akakatwa kichwa? Paul na Sila waliwekwa jela kwa kuhubiri injili. Msishangae yanayotokea leo kwenye taifa hili na yanamsibu Tundu...
3 Reactions
3 Replies
299 Views
Nimefatilia michuano ya cecafa inayo ENDELEA karatu nimefurahi SANA. Lakini nikajiuliza huu uwanja MBONA UKO VIZURI nani mmiliki wake ILI kama atapata NAFASI ya kunisikiliza tunaweza peana...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Juzi nilikua Arusha nmerudi hapa home mkoa wa Kilimanjaro, kabla sijarud dar nataka Tena kwenda LUSHOTO KUTEMBEA, Arusha nilipapenda sana nkapata na mwenyeji akanitembeza Mitaa, Hali ya hewa nzuri...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Watoto watano wamepoteza maisha kwa tukio la moto lililotokea katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Igambilo, kilichopo Kata ya Misha, Manispaa ya Tabora, usiku wa kuamkia siku ya Jumanne...
0 Reactions
5 Replies
539 Views
Back
Top Bottom