MAWASILIANO WASSHA COMPANY

MAWASILIANO WASSHA COMPANY

brton

Senior Member
Joined
May 7, 2019
Posts
177
Reaction score
152
Wakuu habari za jioni, Mimi Ni mjasiriamali, Nina kibanda kidogo (kiosk), nimekuwa interested na biashara ya ukodishaji wa taa za WASSHA au hata kununua kabisa Kama wanauza, Ila nimeshindwa kupata MAWASILIANO yao

Nimegoogle lakini huko Napo hawajaweka namba za cm Ila wameweka email, nimewatext lakini text hazijibiwi

Naombeni msaada kwa yeyote mwenye uzoefu na hawa watu, wanafanyaje biashara zao au Kama Kuna mdau ana namba zao mnisaidie wakuu

NB.mods naomba msifute huu Uzi huu, nwenzenu Nina shida Sana na Hawa jamaa, nimeona hii ndo sehemu ya mwisho
Screenshot_20220508-001146.jpg
Screenshot_20220508-000928.jpg
 
Samahani mi sijakuelewa kabisa umesema taa za aina gani vile? Au ni kampuni gani unayotaka mawasiliano yake?
 
Samahani mi sijakuelewa kabisa umesema taa za aina gani vile? Au ni kampuni gani unayotaka mawasiliano yake?
Kampuni inaitwa WASSHA, Inajihusisha na umeme wa solar Ni from Japan, ukigoogle WASSHA company utaona taa zao, shida hawajaweka namba za cm
 
Back
Top Bottom