Hii niliiona youtube akiongea nabii mmoja, uzuri wa unabii hauhitaji kuungwa mkono au kupingwa,Aliyepitishwa si yule atakayechaguliwa
Atakayechaguliwa si yule atakayeshinda
Atakayeshinda si yule atakayetawala.
soma 2Mambo ya nyakati 18:22-24.Dkt Samia mpaka 2035! Hiki ni kipindi chake kwa kwanza
Waambie hawa NYUMBUDkt Samia mpaka 2035! Hiki ni kipindi chake kwa kwanza