Nimekuja tena nipeni ramani kabla sijaenda lushoto kutembea

kevin strootman

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,077
1,728
Juzi nilikua Arusha nmerudi hapa home mkoa wa Kilimanjaro, kabla sijarud dar nataka Tena kwenda LUSHOTO KUTEMBEA, Arusha nilipapenda sana nkapata na mwenyeji akanitembeza Mitaa, Hali ya hewa nzuri sana, na Kuna jamaa akanielekeza niende africana bar noma sana.

Sasa nataka kwenda kupigwa na baridi huko Lushoto, nataka direction ya kupata mambo yafuatayo nikifika:-

* Lodge nzuri za bei ya kawaida tuu
*Sehemu kwenye watoto wa kisambaa nikasafishe macho
*Sehem wanapouza misosi mizuri (pork isikosekane)
*Sehemu ambayo Internet ya Tigo au Airtel iwe inasoma 4G

NIPENI direction wakuu lengo langu mwaka huu nikutembelea Kila mkoa uliopo ndani ya Tanzania.
 
Jàrobu kakakuona pale saafiii
 
Hongera kwa kuwa mzururaji Mkuu.

WANAKUJA KUKUPA MIONGOZO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Juzi nilikua Arusha nmerudi hapa home mkoa wa Kilimanjaro, kabla sijarud dar nataka Tena kwenda LUSHOTO KUTEMBEA, Arusha nilipapenda sana nkapata na mwenyeji akanitembeza Mitaa, Hali ya hewa nzuri sana, na Kuna jamaa akanielekeza niende africana bar noma sana.

Sasa nataka kwenda kupigwa na baridi huko Lushoto, nataka direction ya kupata mambo yafuatayo nikifika:-

* Lodge nzuri za bei ya kawaida tuu
*Sehemu kwenye watoto wa kisambaa nikasafishe macho
*Sehem wanapouza misosi mizuri (pork isikosekane)
*Sehemu ambayo Internet ya Tigo au Airtel iwe inasoma 4G

NIPENI direction wakuu lengo langu mwaka huu nikutembelea Kila mkoa uliopo ndani ya Tanzania.
Kuna lodge nzuri around Lushoto mini za 20K maji moto nknk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau kuvaa condom uwapo Lushoto....
watoto wa IJA ni wajasiriamali wazuri sana hapo Lushoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom