Naitwa Frank Donald Mwakanosya, nmepoteza vyeti vyangu vyote cha form4,form6,chuo,transcript na cha kuzaliwa. Vyote vilikuwa kwenye bahasha sababu nlitoka kufanya interview
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka...
Mambo 10 usiyoyajua kuhusu “fart” kupiga ushuzi😁
1. Neno "fart" lilianza kutumika mwaka 1962 – Maana yake ya awali ilikuwa “upepo kutoka kwenye tundu la haja kubwa.”
2. Mtu wa kawaida hupiga...
📌 Asema lengo ni kuendelea kuwa na uhakika wa usalama wa nishati nchini
📌 Azindua Mkakati wa Kwanza wa Muda mrefu wa Shirika (2025-2050)
📌 Asisitiza Jamii zinazozunguka miradi ya Mafuta na Gesi...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amezindua Kituo Mama cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambacho kina uwezo wa kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku huku kikifanya kazi kwa muda...
Charles Mwita, aliyekuwa mwandishi mahiri wa masuala ya uchumi na biashara, ameripotiwa kufariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana. Tukio hili la kusikitisha limetokea...
Upo msemo maarufu unaosema “Siasa ni mchezo mchafu,” lakini kwa wengi, huu si msemo tu bali ni uhalisia unaoonekana kila siku. Katika mazingira ya sasa, kuna hali inayozua maswali mengi kuhusu...
Wakuu, ni hisia zangu tu,wamba wamechekecha wakaona kuna mmoja inaonyesha raia wanamkubali, tufanyaje? Tutengeneze movie, kata huku nenda kule. katika zile 700 kuna kafungu kako.
MIAKA 50 YA BAKHRESA GROUP
Muasisi na Mwenyekiti wa Kampuni za Bakhresa, Said Salim Awadh Bakhresa, ndiye alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa kampuni za...
Wasomi wa tz hawana mbinu za kutatua matatizo
Ni documents tu nyingi Zaidi ya hapo umkute msomi wa bongo hasubuhi kwenye magaazeti chakwanza hanunui gaazeti yeye anachambua tu vichwa vya habari
Wakuu
Mdogo wangu wa kike miaka 20 ameolewa miezi miwili iliyopita,huko kwa mumewe kumezuka mtindo wa kuwa anakojoa kitandani as if ni mtoto mdogo.
Wameenda hospitali wameambiwa hakuna tatizo...
Wana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .
Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika...
Mimi ni mpangaji wa nyumba hapa Goba, lakini cha kushangaza mama mwenye nyumba ananipangia marafiki wanaoweza kunisalimia. Sifahamu sababu ya kufanya hivyo na ninahisi inaninyima uhuru wangu...
Kwa karne nyingi, uhusiano kati ya Ukatoliki na Uislamu umekuwa wa mvutano na wakati mwingine wa ushirikiano wa ajabu. Madai ya aliyekuwa padri wa Kanisa Katoliki, Dr. Alberto Rivera, yameibua...
Huyu mwanamke anahisi napenda hii tabia anayoifanya. Wanaume tumelelewa kuwa na roho flani hivi. Ukimuona kijana katika umri ambayo anaogopa kupanga Mipango nankupapambana na maisha roho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.