Nipo jiji la Mwanza, Jana jioni nikasema sio mbaya nitafute sehemu ya kulala na kupata kinywaji basi mm huwa nauliza wenyeji sehemu nzuri ya kurelax, wakasema niende either Tunza au Malaika...
Waafrika wanaangamia kwa kukosa wa kuwasimamia.
Yaani mtu anatoka huko kijijini, anafika mjini masikini, ghafla tu anaweza kutenda miujiza na kuongea na Mungu. Je, huko kijijini alishindwa nini...
Habari za asubuhi wapendwa?
Next week nina safari ya kwenda Mwanza, Sasa kwa wenyeji wa Maeneo ya Nyegezi naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Lodge), ya bei 20k - 25k lakini pawe na huduma...
Nilishawahi kukutana na huo msamiati humu JF. Lilihusushwa na utokaji nje ya mwili.
Leo nimekutana nao kwenye Biblia!
"Yes, remember your Creator now while you are young, before the silver Cord...
Ni sababu ya mapambo mengi ambayo mwilini mwao kuanzia kwenye nywele kichwani mpaka kwenye kucha za miguu.
MAPAMBO YOTE HAYO YANAFUNGUA MLANGO WA KUMILIKIWA NA MAPEPO/MAJINI/KUZIMU.
Kwa sababu...
Salamu Wanajukwa,
Huwa najiuliza mara nyingi sana hili swali na ningetamani sana kujua kwa Wajuvi wa mambo.
Kufariki kwa kiongozi mkubwa wa kitaifa ni swala la nchi lakini pia linagusa maslahi...
Neno la Mungu linasema.. Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80....! Baada ya hapo utaishi miaka ya bonus au ya ubatili!
Job Ndugai katwaliwa kutoka maisha haya! Bila...
…hizi kauli za “Ulaya maisha ni magumu” “makodi ni mengi”, zimekuwa zikitafsiriwa vibaya sana na baadhi ya watu huko Ukimani na wengine makima waliopo hapa hapa Ulaya (wasiokuwa na kazi wala...
nimeona watu wengi wakitumia njia ya anonymous kupost mambo ya siri au nyeti kwenye magroup ya Facebook, wakiamini kwamba hawawezi kutambulika. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa ukweli halisi kuhusu...
Katika utumishi wa Mungu, mahubiri pekee hayawezi kuwatosheleza waumini kupata uimarishaji wa kiroho. Ingawa mahubiri ni muhimu, watu wanahitaji zaidi ya neno linalotolewa madhabahuni. Wanahitaji...
Wanabodi ni ukweli usiopingika wasaidizi wetu wa kazi (mahouse girl ) Wamekuwa wakipitia changamoto au matatizo mbalimbali wakiwa kwenye majumba yetu. Baadhi wanapitia unyanyasajwi wa kigono...
Yaani watu wakae vikao ambavyo wewe huingii wapange kodi,wakusanye,wapange matumizi yake,walipe madeni,wapange matumizi,wajilipe wao,nk bado mnakomaa tu kuwa hela za kodi ni zenu mna akili kweli...
🗯️ Kama ulikua unajiuliza ni app gani unahitaji kwa ajili ya kurusha kitu Toka kwenye Kompyuta au kwenda kwenye Kompyuta kutoka katika simu basi hii app inaitwa LocalSend.
🗯️ Ni app nzuri sana...
Polisi ni polisi tu hawezi kutenda haki kwa mwaume akamwacha mwanake.
Wanaume wengi wanapopeleka malalamiko kwenye dawati hilo polisi wao huwakumbatia wanawake na watoto hara kama mwanamke ndiyo...
Ni kwamba mambo wanayo yafanya huko watokapo yapo normlized kwa kiasi kikubwa kwamba wakifika kule wanataka wayaendeleze au basi tu wanakuwa tempted na kujiachia kwa wazungu maana wanawake wao...
Aah basi Tu nimejikinai nishaona hakuna dalili za kutoboa nimeridhikiwa nimeona niishie level hii hii inanitosha.mahitaji ya msingi ni malazi,mavazi na chakula mengine sitaki tutawasindikiza...
1. Kukatwa kwa Msaada wa takribani Trillioni 1 TZS kwenye sekta ya Afya/Elimu kwa mwaka. Hilo litaumiza kila mtu, tusifurahie kindezi.
2. Sekta nyingine kama TRA (income tax), Health insurance...
Uchumi wa Tanzania mwaka 2024 unakadiriwa kuwa USD 80 Bilioni (Trilioni 205) Kwa mujibu wa data za NBS.
Uchumi huo wa Trilioni 205 unachangiwa zaidi na Mikoa 15 kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.