Wakuu habari,
Nimehamia Musoma hivi karibuni kwa ajili ya kazi na nimekuwa nikisumbuka kupata chumba kizuri cha kukaa (living room) kwa malipo ya kila mwezi.
Vigezo ninavyopendelea:
Iwe maeneo...
Rushwa yangu ya kwanza niliitoa mwaka 2010, nilipita njia niliyoona watu wengi wanavuka lakini haikuwa njia rasmi, siku niliyokamatwa nikaomba waniachie hawakunielewa, nikatoa elf 2 wakaniachia...
Yohana 21 : 15
Walipokwisha kula, Yesu akamuuliza Simoni Petro, “Je, Simoni mwana wa Yohana, unanipenda kweli kuliko hawa?” Yeye akamjibu, “Ndiyo Bwana, wewe unajua ya kuwa ninakupenda.” Yesu...
Mi nafikiri tuache ujuaji sana.
Experience yako binafsi isiwe ndio hitimisho kuu.
Kwa maisha yetu sisi masikini wa kiafrika, fursa ziko limited na expensive maana rasilimali zimekuwa economized...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha ushiriki wake katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane 2025' jijini Dodoma kwa kutoa huduma kwa wananchi 1,981.
Huduma zilizotolewa...
Katika hotuba yake pale Kwala wakati wa uzinduzi wa bandari ya nchi kavu miongoni mwa mambo aliyoyasema Mzee JK ni kuwa aliulizwa na Mh Rais kuwa huku kwenu hakuna wazee wanaoweza kuzuia mvua...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa wanne, wakiwemo wawili wanaodaiwa kuhusika na wizi wa Shilingi milioni 105 na wawili waliokutwa na pikipiki za wizi, katika...
Ukombozi mkubwa na muhimu uliohitajika Afrika ni ukombozi wa KIFIKRA na siyo kupigana vita kama ilivyofanya Tanzania ndani ya Afrika.
Ukombozi uliofanywa na Tanzania ni kiini macho kwani Waafrika...
Katika historia ya uhalifu wa kisasa nchini Japani, jina la Kenichi Shinoda linatajwa kwa heshima ya kutisha na hofu isiyoelezeka. Huyu ndiyo kiongozi mkuu wa kundi kubwa la kihalifu la...
Nina kijana mwenye miaka 18 sasa hivi yupo form four, anasoma day yaani kwenda na kurudi nyumbani.
Changamoto yake si mtu wa kueleweka anapoongea. Anaweza ongea vitu viwili vinavyokinzana na bado...
Huwezi kuwa na mfumo wa demokrasia kwenye mfumo wa ubebali au ubeberu,ni nchi gani hiyo uingereza,urusi,marekani,ujeruman,nk?
Kiuhalisia nchi zote duniani zinafuata mifumo ya kidini ambayo...
Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk??
Huu ujinga umepitwa na...
Nawasalimia wanajamvi Kwa jina la Mungu wetu mkuu(Yahweh).
Iliwahi nikuliwa juu ya kauli ya mwasisi wa Taifa letu hayati Julious kambarage Nyerere,ambapo alisema,tukitaka kupiga hatua kama...
Katika jamii ya kisasa, ambapo maendeleo ya sayansi na teknolojia yanazidi kuimarika, kuna wachungaji na viongozi wa dini ambao wanadai uwezo wa kufanya miujiza, ikiwa ni pamoja na kuponya...
Mnamo miaka kadhaa huko nyumba nilisoma sekondari nikiwa naishi Kwa ndgu. Sehemu ya makazi ya ndugu wale ninzaidi ya kilometa tatu. Nilivumilia mwaka mmoja mwaka wa pili nikahamia kwa Mzee ambaye...
Deni la Marekani Limefikia Zaidi ya Dola Trilioni 37 kwa Mara ya Kwanza Maishani Hapa ikiwa na maana kwamba Deni limekua kubwa mara dufu kuliko Uchumi wao wa Dolla T 30.
Unaweza jifunza jambo...
Hata mfalme sulemani hakuandika kitabu cha Mithali na Wala si kwamba alikuwa na hekima kuliko wote.
Bali vitabu vya Mithali viliandikwa na wanandishi wengine wa Kiyahudi ambapo zama za mfalme...
Mara ya kwanza ilikuwa kama masihala baada ya gas kuisha nikiwa sina hata tsh kumi mfukoni, niliwaza sana siku hiyo, nikampigia jamaa yangu aniazime japo pesa kidogo bahati mbaya naye hakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.