Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MAISHA YA MCHAGA DUNIANI NA AKHERA UCHAMBUZI WA KITABU *Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Mangi Petro Itosi Marealle Alikuwa Mangi Mwitori Wa Vunjo, Uchagga...
20 Reactions
48 Replies
20K Views
Habari zenu wakuu, hongera kwa kila anayewajibika muda huu pia kwa wanaopumzika katika staili zao wajuazo wao. Naomba nisivute muda na wakati muhimu kama huu.Kama kichwa cha habari...
4 Reactions
86 Replies
38K Views
Katika press yake mojawapo ya bwana comredi humphrey polepole kuelezea kwamba hata wakimroga hawamuwezi na kwamba atawakausha kwa moto wa maombi na ushuhuda alisema anao. Mimi katika kuzunguka...
1 Reactions
1 Replies
534 Views
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Bw. Rolf Kibaja, ametoa wito kwa umma kutumia huduma za mawasiliano kwa njia sahihi na salama. TCRA...
0 Reactions
2 Replies
254 Views
Katika dunia inayokumbwa na matatizo yasiyokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, na ndoto zilizokwama—watu wamegawanyika katika makundi mawili. Wapo wanaotafuta suluhisho kwa...
4 Reactions
3 Replies
835 Views
Harakati za kubinafsisha shamba la mpunga –Mbarali Rice Farm na ukosefu wa uzalendo wa viongozi tulio nao . Kabla ya kubinafsishwa kulitokea mgogoro mkubwa wa nani anunue hili shamba kati...
2 Reactions
28 Replies
15K Views
Hapo zamani za kale katika miaka ya 1969-70 palipokea mchungaji mmoja ambaye waliishi maisha ya shida sana na mkewe Kuna siku wakati anapika aliishiwa gesi kwenye mtungi hivyo kwakuwa hawakuwa na...
2 Reactions
9 Replies
436 Views
Nimekutana na hii discussion hapa ikidai kwamba Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la makanisa na wachungaji. Hali hii imeibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa matumizi mabaya...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya tu ya video ya kupuliza gesi kusambaa, jamaa kaja na kebehi na matusi kibao kwa wanawake na jamii nzima kwa ujumla, Kafikia hatua mpaka anatukana dini zingine. mbona kapanick sana Nani...
11 Reactions
133 Replies
5K Views
Mfano Mimi nina biashara yangu ambayo inalipa kodi TRA. Ila pia ninamiliki Account za mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara yangu hiyohiyo ambayo inalipa kodi TRA. Je, mkisema...
1 Reactions
4 Replies
540 Views
Wiki hii leo ni siku ya 5 kila siku umeme unakosekana kutwa nzima jijini Mbeya. Zaidi siku ya hapo leo 09.08.2025 muda huu saa 4:40 usiku bado umeme haujarudi tangu ulipokatika majira ya saa 1...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Wakuu Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Lazaro Twange amefika nyumbani tarehe 03 Februari, 2025 akisema vyombo husika vinaendelea na uchunguzi wa tukio la kutekwa kwa Damian Method huku akiitaka familia...
0 Reactions
8 Replies
806 Views
Waheshimiwa wanajamii wa JamiiForums, nawasalimuni kwa heshima na taadhima. Natumai wote hamjambo na shughuli za kila siku zinaenda vyema. Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, na kwa muda sasa nimekuwa...
11 Reactions
22 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU ============= Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa pole kwa Dkt. Fatma Mganga, ambaye ni mjane...
8 Reactions
103 Replies
6K Views
Andiko kuu: 2 Wafalme 13 : 14 - 19 Hubiri langu la kufafanua andiko kuu. Chukua upinde, lenga mbali, usiogope mishale mingi. Mshale wa ushindi hausafiri pekee huongozwa na mkono wa utii. Ardhi...
0 Reactions
5 Replies
355 Views
Naomba maoni yako hapo chini je kati ya Kujiajiri au kuajiriwa ni kipi una prefer na ni kwanini?
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Hebu cheki Japan ilivyokuwaga katili dhidi ya China na mataifa mengine ya Asia. Ilikuwa katili km Ujerumani na iliua wachina milioni 26; ila watu bado wanaiomea huruma kupigwa mabomu ya nuclear...
1 Reactions
5 Replies
668 Views
Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma...
2 Reactions
7 Replies
791 Views
MOTO WAZIDI KUWAKA UWT K'NJARO,WANACHAMA WATISHIA KUREJESHA KADI ZA CCM HALI bado si swari ndani ya Jumuiya ya wanawake wa Chama cha Mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake na wale walioenguliwa...
1 Reactions
2 Replies
594 Views
Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom