Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

💡 Kampuni ya Tecno katika toleo la simu Bora kwa mwaka 2025 basi hii ni 𝗧𝗲𝗰𝗻𝗼 𝗖𝗮𝗺𝗼𝗻 𝟰𝟬 𝗦𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀 wametisha sana humu ndani kwa feature zake za kibabe sana. 📸 Achana na Yote Leo nakuambia kuhusu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari za muda huu Mjumbe 😂 Mimi ninaulizo hili nahitaji kufahamu Mbinu zote za kukuza akaunti za Social media haswa (Instagram na TikTok) Mbinu zote (Halali na zisizo halali) lengo ni kujifunza...
2 Reactions
5 Replies
468 Views
Kuna wizi mkubwa Sana inafanyiika kwenye tozo za parking za Magari. Nmefanya kijiuchunguzi na kugundua Aina ya wizi unavyofanyika. 1. Kuna risiti za Aina mbili za Tsh 500 na za Tsh. 300 2. Tozo...
5 Reactions
40 Replies
8K Views
Niliwai kwenda kula mgahawani sasa nikaja na samaki wakubwa nikagiza milinda nyeuc ugali nikachukua wa bei ya juu mwingi najaziwa pale ndani kulikua na waha wana kopesha vitu kama watatu wana...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
== Mkuu wa mkoa Tbaora anasema Serikali imeimarisha sekta ya madini mkoani Tabora (2021–2025) na kufanikisha: uzalishaji kuongezeka kutoka tani 0.34 (2020) hadi 0.8 (2025). Mapato ya kigeni...
0 Reactions
2 Replies
276 Views
Rais Samia aimarisha Sekta ya Nishati Tabora kwa TZS353.73bn, vijiji vyote 722 vimeungabishwa na Umeme Katika kipindi cha 2021 hadi 2025, Serikali imetekeleza miradi ya nishati yenye thamani ya...
1 Reactions
5 Replies
300 Views
Waliokuwa Mashemasi wa Jimbo Katoliki Bunda Moses Ochogo na Anthony Suka wapewa daraja la. Upadre Mhashamu Simon Chibuga Masondole, Askofu wa Jimbo Katoliki Bunda ametoa Daraja Takatifu ya...
0 Reactions
3 Replies
312 Views
Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao...
0 Reactions
2 Replies
357 Views
Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga Halafu moderators acheni dictatorship ya...
8 Reactions
200 Replies
14K Views
Tanzania manabii wamekuwa wakiongezeka kila siku na nabii zao Polepole naye Polepole ageuka kuwa Nabii asema Yesu atarudi duniani mwaka 2042 .Msikilize hapo...
1 Reactions
6 Replies
406 Views
Chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan utoaji wa huduma za elimu mkoani Tabora umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Siku ya Jana ilikuwa mbaya mno, hakika sijawai honja shubiri ya kusubilia msafara wa mtafuta wadhamini wa ugombea uraisi kama Jana. Hatumkatai kuwapisha wagombea mathalani Hasa Hawa watemebea na...
1 Reactions
1 Replies
250 Views
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha anasema Chini ya Rais Samia sekta ya Mifugo Mkoa wa Tabora imeimarika kupitia ujenzi wa majosho 16 mapya na kufikisha jumla ya 95 yenye uwezo wa...
0 Reactions
3 Replies
333 Views
Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!! Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa. Huyu...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Kabla ya kuingia kwenye elimu ya yote, ni muhimu kuelewa kwamba mwanadamu anaguswa na aina mbalimbali za elimu za kimaumbile ambazo husaidia kufafanua ulimwengu unaoonekana. Fizikia hutufundisha...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Hivi hii huwanakusudia nini mara nyingi idara za HR ni wakuu wa idara ni wanawake? Kwanini?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Dr. Emmanuel Nchimbi amewahi kushika nafasi mbalimbali za ajira na uongozi, nyingi zikiwa ndani ya serikali na chama. Mpangilio wake wa kazi unaweza kuonekana hivi: Ajira na Nafasi Alizoshika 1...
6 Reactions
102 Replies
6K Views
Hawa watu huwa wanakuwa na matatizo gani? Wanazubaa hovyo barabarani na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara. Mpaka kuna wakati nadhani magari yao ndio mazito na mizigo maana...
6 Reactions
65 Replies
3K Views
Kwenye Bodaboda majanga Elimu ndio hivyo hakuna connection Biashara changamoto Mnaosema tafuta hela nyie mnatoa wapi
1 Reactions
2 Replies
210 Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ujumbe huu uwafikie haraka na mchukue hatua za kinidhamu na za haraka kwa baadhi ya vituo vya mafuta kujiingiza kwenye mchezo mchafu...
5 Reactions
7 Replies
808 Views
Back
Top Bottom