Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu) Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na...
17 Reactions
156 Replies
9K Views
Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema Iran usiku wa kuamkia leo imevuka mstari mwekundu kutokana na mashambulizi yake ya makombora kulenga maeneo ya kiraia hivyo ijiandae kwa majibu...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Kimsingi jana ilikuwa ni siku ya ndoa kati ya CCM na wafanyabiashara. Ni tukio la kuhuzunisha mno kwenye siasa za Tanzania. Ukiwa mzalendo huwezi kufurahia chochote kwenye ile harambee. Chama...
2 Reactions
6 Replies
588 Views
Yaani tusiseme sana,africa inachangamoto aisee
0 Reactions
11 Replies
493 Views
Baada ya miaka 12 ya kutafuta bila mafanikio, hatimaye James Howells ameamua kuachana rasmi na jitihada zake za kuipata diski kuu (hard drive) aliyotupa kwa bahati mbaya mwaka 2013. Ndani ya diski...
1 Reactions
2 Replies
235 Views
Wabongo hamfai, ustadi wenu ni mitungi, kubeti na mikasi tu 🤣🤣 Yani mwamba amekimbiwa na watu kama vile bomu limeanguka pale HQ 🤣🤣
0 Reactions
3 Replies
337 Views
1. Anakupa amani ya moyo hata katikati ya changamoto. 2. Anakupa furaha ya kweli isiyoyumba kwa hali za maisha. 3. Anakupa hekima ya kufanya maamuzi sahihi. 4. Anakupa nguvu ya kuvumilia...
4 Reactions
5 Replies
505 Views
Katika hatua ya kihistoria na kishindo kwa sekta ya utalii nchini, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Agosti 12, 2025...
0 Reactions
1 Replies
302 Views
Unapotaka kufanya ukarabati mdogo, Kuna utaratibu wa kupata kibali, ni chanzo Cha mapato Kwa Manispaa. Shida kubwa mwezi Mzima mtu unazungushwa na mlolongo wa sababu zisizo na Mashiko. wakati...
1 Reactions
4 Replies
286 Views
Moja kwa moja. Hii ni mifano michache ila Kuna aina mbalimbali za uchizi kuhusiana na mambo ya Simba na Yanga . #UziTayari
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani. Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine...
15 Reactions
117 Replies
4K Views
Mtu wa Mungu, kumpokea Yesu hakuangalii dini ya mtu, ni moyo wako tu. Neno la Mungu linasema kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye...
6 Reactions
16 Replies
828 Views
Kuna mtu alituma andiko kua mafanikio ya taifa stars ni kua waislamu wamepewa nafasi. Hilo ni andiko la ajabu sana na huyu mtu ningekua na mlaka ningempa onyo kali sana kwa kuleta fitna. Kwenye...
3 Reactions
12 Replies
627 Views
Huduma za uokoaji zinaendelea kuwaokoa takribani watu 22 waliofukiwa na kifusi, katika machimbo ya dhahabu ya Nyandolwa, Shinyanga Tanzania. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita amesema tukio...
0 Reactions
2 Replies
369 Views
BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jenga jamii iliyo salama na yenye matumaini kwa kumshirikisha Afisa...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Kwanza niipe hongera serikali kwa kwa upanuzi wa barabara ya Kimara-Kibaha siku hizi ukitoka Kimara Stop Over mpaka Kibaha unateleza kusimama ni kwenye mataa tu. Ila janga ni ile barabara ya...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Naomba kwa yeyote anaefahamu utaratibu wa kufuata, mahali na gharama za kupata leseni ya kujifunzia udereva yani Learner License. Natanguliza Shukrani.
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Nikiwa katika eneo la Mtemi Beda Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi, nilipokwenda kumjulia hali bibi yangu mzaa baba ambaye ni mgonjwa sana, Nimeona kero ya muda mrefu ya ubovu wa barabara ya Mtaa wa...
0 Reactions
1 Replies
641 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi, amepiga marufuku kutozwa fedha kwa wananchi wanaotumia vyoo vilivyopo katika eneo la mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha-Mount Meru kufuatia...
1 Reactions
4 Replies
461 Views
Katika Ulimwengu wa roho Sadaka ya Gunia la viazi mbatata aliyotoa Lucas Mwashambwa pale Mlimani City jana kuchangia chama ina thamani kubwa kuliko billion 10 ya GSM na rafiki zake Lucas ametoa...
2 Reactions
7 Replies
506 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…