Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nikipita Mbweni huwa najiona mjinga sana,mahekalu yale yamejengwa nayaona kabisaaa. Nimezaliwa mjini,nimekulia mjini,shule nimekwenda kiasi chake,lakini sijui nilifeli wapi kumiliki mjengo maeneo...
2 Reactions
6 Replies
638 Views
Gari ya polisi imepata ajali mbaya hapa kwenye mteremko wa kwa sadala wilayani Hai, baada ya kuvaana uso kwa uso na FUSO
13 Reactions
133 Replies
9K Views
Usitake watu wengine wawe kama ww ulivyo , kila mtu amekulia ktk mazingira yake , ana mapito yake , uzoefu wake , heshimu utofauti wa wengine . Mtu yeyote mgeni kwako mpe muda wa kumsoma tabia...
1 Reactions
0 Replies
180 Views
Pastor Tony Kapola akiwa kwenye ibada jioni ya jana Agosti 7 amewajibu waliobeza muujiza wa kupuliza gesi ikajaa na kupika wiki 2
14 Reactions
302 Replies
11K Views
Rabbit 🐰 in Colorado have been spotted with black coloured growths resembling tentacles protruding from their heads. The virus on spreads among rabbits, primarily by biting inserts like fleas and...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Huko Shinyanga watu takribani 25 wamekufa kwa kufunikwa na kifusi. Hii si mara ya kwanza. Inatokea mara kwa mara. Na vifo vingine hata kwenye vyombo vya habari havitangazwi. Watu wa migodoni wana...
3 Reactions
6 Replies
586 Views
Ni vyema polepole aandamane na familia yake kudai au kupinga hayo anayoeleza wakiuwawa ndiyo tujue kweli ccm wamebadilika na viongozi wake wameamka sasa
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Kijana William Mbise (28), mkazi wa Wilaya ya Arumeru, Kata ya King'ori, Kijiji cha Kirenga, amepoteza maisha kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuchapwa fimbo 70 kama adhabu ya kimila iliyotekelezwa...
1 Reactions
7 Replies
777 Views
Wakuu asalaam ! Kwa mujibu wa sheria, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliundwa kwa lengo la kuchunguza, kuzuia na kupambana na vitendo vya rushwa nchini Tanzania. Inatakiwa...
0 Reactions
5 Replies
621 Views
Habari , kwa mliwahi pitia hii hali comedian Tom Daktari kapitia mnazungumziaje level of trusting colleagues. https://youtu.be/weyJaQlchV8?si=W4MHw5DiFsmeuVUQ
1 Reactions
1 Replies
264 Views
Wakuu naitaji msaada wa database au pdf ambayo ina majina ya kampuni za Tanzania na vitu inavyozalisha
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Future of Africa Je! Kuna siku nchi za Afrika zitaweza kujitengemea katika nyanja za kisiasa na Kiuchumi? Mustakabali wa bara la Afrika na uwezo wake wa kujinasua kutoka utegemezi wa kisiasa na...
0 Reactions
4 Replies
342 Views
[Yoh1:6]Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. [Yoh1:7]Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye. [Yoh1:8]Huyo hakuwa ile nuru, bali...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Serikali ilikabidhi Tenda ya matengenezo ya mv Magogoni kwa Wakenya kwa Mbwembwe nyingi sana wakawaacha kampuni ya Ndani Sasa ni mwaka wa 2 Mv magogoni ukarabati imefika asilimia 40 Now kivuko...
0 Reactions
10 Replies
788 Views
Hii ni barua ya wazi kwako Mheshimiwa Waziri wa michezo Professor Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi kuhusiana na watendaji wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT). Kuna sintofahamu nyingi...
0 Reactions
8 Replies
569 Views
DKT. BITEKO AZINDUA PROGRAMU YA UGAWAJI MAJIKO YA UMEME KWA BEI YA RUZUKU KWA WAFANYAKAZI WA TANESCO 📌 Lengo ni kuchochea Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 📌 Asema matumizi ya umeme kwa ajili...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Mitragyna speciosa (Kratom) ni nini? Mitragyna speciosa iko katika kundi la dawa mpya za kulevya zinazotokana na mimea inayofahamika...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Anonymous
Habari wana Jamvi. Jana nimekwenda Hospitali ya Saifee, nikamuona daktari ambaye aliniandikia vipimo vya kuchukua maabara.. Nimefika maabara kijana wa laboratory amechoma mkono takribani mara 4...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Habari za wakati huu member wote wa JF. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada ama swali kwa wenye ujuzi na wanaopenda kufahamu. Jambo liko hivi, Leo wakati nimeenda duka la hatua...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Kipindi cha Januari hadi Juni 2025 kimeonesha ongezeko kubwa la taarifa potofu, hususan zinazohusiana na siasa. Katika muda huu, JamiiCheck ilihakiki jumla ya madai 192, ambapo madai ya yasiyo ya...
2 Reactions
8 Replies
561 Views
Back
Top Bottom