Katika kila nchi kuna watu wanahangaika na kupambana kila siku ili wawe na maisha ya raha na furaha. Hata hivyo hakuna nchi yoyote duniani ambayo watu wake wote wamefaulu kuwa na furaha na raha...
Tumsifu Yesu Kristu ...kama ambavyo Mwashamu Baba Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, alitoa tangazo hili lilionea duniani kote kwa Wakatoliki wote na watanzania wote Duniani kote kwamba...
Customer Care ya Tanesco ni Geresha! Mwanzo ilikuwa mtu unapiga simu kwenda kwenye tawi la mtaa uliopo kisha mafundi wanakuja kurekebisha tatizo, Walipoona wanasumbuliwa sana ndipo wakaamua kuweka...
Salaam.
Natambua kabisa wapo Mama na Baba wa Kambo ambao, wana upendo na wamekuwa watu wema kwa watoto wanaowalea wakiwemo yatima. Hakika, wanastahili Pongezi.
Wapo sasa wale Baba na Mama wa...
Mke wangu ni mjamzito, nilienda nae Zahanati ya Kata ya Ihumwa (Zahanati ya Ihumwa) iliyopo Dodoma Mjini kwa ajili ya clinic ya kawaida.
Wakasema kuwa ili upimwe Malaria unapaswa ulipie gharama...
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu au mazingira.
Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa...
Hii biashara NI nzuri Sana ukiwa na million zako 100 unaweza kujenga go down zuri la medium size la kisasa unaweza ukarudisha hela yako ndani ya misimu miwili Tu ya kilimo.mfano huku kusini Lindi...
Salute wakuu,
As per title hapo juu, Ulishawahi kuachwa na ndege ugenini? Ilikuaje na Ulifanyaje? Let’s share experience.
Back in 2014 nikiwa chuo mwaka wa pili nchini Oman kwa His Excellency...
Kuna tukio limetokea huku kwetu Kijiji cha Msonga Kata ya Runzewe, Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita, kama tutaendelea kubaki kimya hakuna kitakachofanyika na hatua hazitachukuliwa.
Kuna kijana...
Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
Fredy Azzah na Fidelis Butahe
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ambaye jana aliruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam...
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar, Haji Juma Omar amesema changamoto ya ulipaji wa mshahara mdogo kwa baadhi ya Walimu Zanzibar imesababisha kuwaingiza katika madeni makubwa na kusababisha...
Haya yameandikwa katika kitabu Zamani Mpaka Siku Hizi. Inadaiwa Wahima(Watutsi ni Wahima walioelekea magharibi kwenye vilima vilivyoitwa Tutsi) Walipotoka kaskazini kwenye karne ya 14 walikuwa na...
"Kwa muda mrefu nimejitofautisha sana. Maana yake, kama ningekuwa pandikizi tu, si ningekuwa nashangilia haya mambo? Kama ningekuwa pandikizi, hata huko CCM ningekuwa nashangilia kama wale...
TZLPGA inapenda kuonya kuwa kupuliza gesi ya kupikia ya mitungi (LPG) kwa kinywa kupitia mpira ni kitendo hatari na hakiruhusiwi. Kufanya hivyo kunaweza kusababisha gesi kuwaka, mlipuko, au...
Watu 1,000 wamenusurika kifo baada ya stoo ya kuhifadhia mafuta ya petroli kulipuka na kuteketea kwa moto katika Kisiwa cha Benzi, Kata ya Kayenze, wilayani Ilemela mkoani Mwanza.
Kaimu Kamanda...
Dar es salaam
Wakazi wa Kivule jijini Dar es salaam wameipa kongole Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuwasogezea huduma karibu katika eneo hilo kwa kuendesha Kliniki ya Ardhi na...
Polisi Mkoa wa Njombe imetoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha kijana mmoja aliefahamika kwa jina la Ackrey Philipo Ngole(26) Mkazi wa mtaa wa...
Naomba kuuliza zinazo wahusu hawa Tlaatlaah chiembe Lucas mwashamba ChoiceVariable OktobaTUNATIKI . MamaSamia2025
Kuna siku chiembe aliweka nyuuzi kuwa mdude kaachana na siasa. Baada ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.