Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Mara yangu ya kwanza kufika Beit Bridge, mpakani mwa Zimbabwe na South Africa, ilikuwa saa nane usiku. Ilikuwa safari ya siku tatu kutoka Dar hadi kufika hapo. Ndani...
Wasadukayo wakiongozwa na Wazee wa Mitala na Ahabu waliomweka kwenye kiti cha enzi wanaendelea kuitumia Sanhedrin kuendeleza michezo yao kumzuia Yohana Mbatizaji.
Hakika tunawataarifu Wasudukayo...
1.The Rainbow Lorikeet: Rangi ya Asili
Rainbow Lorikeet ni ndege mwenye kupendeza sana, manyoya yake ni onyesho la kuvutia la rangi. Kichwa chake na tumbo vimepakwa rangi ya samawati...
Nchi za Burundi na Tanzania kesho zinatarajia kuzindua ujenzi wa Reli ya kisasa maeneo ya Musongati mkoani Burunga nchini Burundi na kuhudhuriwa na Viongozi kutoka Mataifa yote mawili.
Reli ya...
Msinigombanie kama Mpira wa Kona sijasema Mimi na ukitaka kujua waliosema nenda Mtandao wa Bongo Mjini usikie.
Hivi mnadhani akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tunachukia kutoka Vitambi kama vyenu...
Hivi ndivyo wachambuzi wa Kimataifa Wamechambua dili ya Uranium kati ya Tanzania na Russia ambayo imevunja minyororo ya unyonyaji kama inavyofanyika Nchi zingine.
Tanzania ya Samia inaendelea...
Miaka ya karibuni, kumekuwapo na maelekezo na miongozo kutoka mamlaka za udhibiti ambayo wakati mwingine hayafafafanuliwi vya kutosha, na kusababisha mkanganyiko na mabadiliko yasiyopangwa vizuri...
Kama ulikuwa hujui, kila kipande cha chakula tunachoweka mdomoni ni zawadi kutoka kwa Mungu. Maandiko yanatufundisha kwamba kila kitu kizuri hutoka kwa Baba wa nuru (Yakobo 1:17).
Hizi hapa...
Ijumaa Kareem!
Mkeo alishaongea alichoongea. Kiwe ni kweli au sio kweli hiyo sio ishu. Waliombeza walishambeza. Hukuwa na sababu ya kutoka juu kwa juu na kuanza kushambulia watu hovyohovyo kama...
Habari JF, GT
Kama ilivyo ndoto za watu wengi kumiliki makazi ya kuishi kwa muda mchache tuliopo hapa duniani, basi naomba nilete huu mtanziko ambao umekua mjadala kati yangu na Mjomba wangu...
Kiukweli suala la mfanyabiashara GSM KUCHANGIA Bilioni 10 KWA ajili ya CCM uchaguzi ambao haina upinzani limenifikirisha sana.
Nimeangalia kanisa ninalosali tunavyostrago kupata kiasi cha kawaida...
Loo, wanacheka, wanarukaruka, wanacheza wakifurahia uzinzi, ulevi, ulaghai, wizi, na anasa za dunia. Wanadhani maisha hayo hayana tatizo. Lakini Biblia iko wazi kabisa: maisha ya dhambi yana...
Aisee, hii kamba ya leo tarehe 13.08.2025 ni ndefu sio kitoto. Yaani kutoka Ubungo mpaka Kimara umbali wa kilometa 5 tunatumia masaa 2:30. Tatizo nini, ni ujenzi wa barabara au kuna ajali? @Tanroads
Wakuu,
Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa Jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa na wala hajanipigia kuniambia lolote ila naona status zake...
Kijana wa miaka 30+ kukosa kumiliki chombo cha usafiri, nyumba au kipato chako kwa siku ni chini ya elfu 30 ni aibu kubwa mno
Ukivuka 30 hutoitwa kijana tena bali utaitwa mzee wa makamo na nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.